Kila mtu ana jambo lake ambalo anajua akilisema watu hawatamuamini

Kila mtu ana jambo lake ambalo anajua akilisema watu hawatamuamini

tea_mobama-_012515064953.jpg
 
Mtaani kwangu wananiita Mbunge. Matatizo yote ya mtaa nasolve

Nimewajengea shule, zahanati na kuwachimbia visima bure kabisa

Mabinti wa secondary nimewajengea sehemu ya kusomea karibu na kwangu kwaajili ya ulinzi na kuwaepusha kutembea umbali mrefu kwenda kujisomea
 
Nashangaa wakati mwingine unaandika nyuzi ya kawaida tu, ila watu wanareply haiwezekani, chai, uongo 😵. Mngejua, kuna mambo ya kustaajabisha watu wameyabeba moyoni, hawawezi tu kusema na hata wakisema hamtawaamini.

Anyway, hivyo vibao viwaburudishe (mimi yangu ya moyoni ambayo siwezi kuyasema yametajwa kidogo kwenye hizi nyimbo)

View: https://youtu.be/yM_0BhO4UAk?si=4RtKKNwAe54I4hLE

View: https://youtu.be/0wfWPRXHodY?si=UdiX9gVt73qvhHAg

Chai ya usiku hii 😃😀😄
 
Ni kweli kabisa unachosema
Mfano mimi watu wanaoniona hapa mtaani na limwili langu kubwa kama kijumba na wengi wananipa shkamoo maana naanza kuonekana mdingi mdingi ila huwa nawaza siku wakija kusikia mimi napigaga Nyeto na chabo sidhani kama watakaa waamini!
Nashangaa wakati mwingine unaandika nyuzi ya kawaida tu, ila watu wanareply haiwezekani, chai, uongo 😵. Mngejua, kuna mambo ya kustaajabisha watu wameyabeba moyoni, hawawezi tu kusema na hata wakisema hamtawaamini.

Anyway, hivyo vibao viwaburudishe (mimi yangu ya moyoni ambayo siwezi kuyasema yametajwa kidogo kwenye hizi nyimbo)

View: https://youtu.be/yM_0BhO4UAk?si=4RtKKNwAe54I4hLE

View: https://youtu.be/0wfWPRXHodY?si=UdiX9gVt73qvhHAg
 
Wakati nasoma a-level nilikua mkali wa mchezo wa draft shule nzima. Siku moja nikacheza na mshkaji mmoja hivi wa kawaida tu, nikamchukulia poa si akanipiga super bhana. Akatoka kwa shangwe kwenda kutangaza kanipiga super bahati mbaya kwake hakuna aliemuamini na wakati tunacheza tulikua wawili tu kwaiyo hata shahidi hakuna na mimi nikakataa hajanifunga.

Baada ya kelele zake kuzidi tukapiga game ya wazi mbele ya watu game 5 nikampiga zote. Mpaka tunaondoka shuleni hakuna aliyewahi kumuamini kama alinipiga super
 
Mm jambo ninalolisemaga na watu hawaamini ,ni pale nikiwaambia mama mtt wangu alinibakaa na cku aliponibaka akapata mimbaa iliyoleta mtt ambaye ss ana miaka 9....

Wanakataaga kbs wanasema mwanaume awezi kubakwa ,ila ndio ukweli nilibakwa Kwa kuwekewa kilevi na mdada wa miaka 33 mm Nilikuwa na miaka 23
Daaah mkuu, pole sana, sanaaaa.
Hili siyo jambo dogo na lina athari kubwa sana kisaikolojia. I hope uko sawa!
 
Back
Top Bottom