Kila mtu ana jambo lake ambalo anajua akilisema watu hawatamuamini

Kila mtu ana jambo lake ambalo anajua akilisema watu hawatamuamini

Msemaji muoga hafai, siku nyingine nakufukuza kwenye chama
Mimi kama semaji nasema mada wa semaji kutaka kufa imefungwa rasmi. Kwa kuzingatia Katiba yetu yoyote atakaye endeleza mada hiyo. Sheria Kali zitachukuliwa dhidi yake!

Sheria ni msumeno inakata mpaka Rais 😂

Ole wake

Aishii sana Semaji la chama Cha Majobless
 
Hajui huyu 😂 kwakua ashakubali ataishi tumempokea😂 Intelligent businessman Raisi wa majobless pro max mratibu mipango nasema atafutwe kijana wa kumfunza games asahau depression 😂🙌🏿
Mimi Kama makamu wa majobless nitakupa ofa😅uje kijijini uchukue kabinti kama miaka 18 kabikira makutupora uje na mbuzi bubu ilo ndo sharti
 
Ewaaa lini hiyo mkuu😋, ofaa yangu au ya semaji😂
Mkuu wewe kwa vile uko fit nitakupa singo maza wa kikulya Ila kwenye ngumi uwe fresh, Maana kina bhoke wanapiga mkono sio poa na chuchu zao ngumu kama pera bichi,
 
Mkuu wewe kwa vile uko fit nitakupa singo maza wa kikulya Ila kwenye ngumi uwe fresh, Maana kina bhoke wanapiga mkono sio poa na chuchu zao ngumu kama pera bichi,
😂😂😂Siwawezi mkuu Bora niwe chingo tu😂 Mimi na ugomvi hatuendani😂
 
Back
Top Bottom