Kila mtu ana jambo lake ambalo anajua akilisema watu hawatamuamini

Mtaani kwangu wananiita Mbunge. Matatizo yote ya mtaa nasolve

Nimewajengea shule, zahanati na kuwachimbia visima bure kabisa

Mabinti wa secondary nimewajengea sehemu ya kusomea karibu na kwangu kwaajili ya ulinzi na kuwaepusha kutembea umbali mrefu kwenda kujisomea
 
Chai ya usiku hii 😃😀😄
 
Ni kweli kabisa unachosema
Mfano mimi watu wanaoniona hapa mtaani na limwili langu kubwa kama kijumba na wengi wananipa shkamoo maana naanza kuonekana mdingi mdingi ila huwa nawaza siku wakija kusikia mimi napigaga Nyeto na chabo sidhani kama watakaa waamini!
 
Wakati nasoma a-level nilikua mkali wa mchezo wa draft shule nzima. Siku moja nikacheza na mshkaji mmoja hivi wa kawaida tu, nikamchukulia poa si akanipiga super bhana. Akatoka kwa shangwe kwenda kutangaza kanipiga super bahati mbaya kwake hakuna aliemuamini na wakati tunacheza tulikua wawili tu kwaiyo hata shahidi hakuna na mimi nikakataa hajanifunga.

Baada ya kelele zake kuzidi tukapiga game ya wazi mbele ya watu game 5 nikampiga zote. Mpaka tunaondoka shuleni hakuna aliyewahi kumuamini kama alinipiga super
 
Daaah mkuu, pole sana, sanaaaa.
Hili siyo jambo dogo na lina athari kubwa sana kisaikolojia. I hope uko sawa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…