Mshangazi dot com
JF-Expert Member
- Nov 19, 2011
- 1,345
- 3,503
- Thread starter
-
- #161
🤣🤣🤣 Atleast Edo kissy najua ni Edwin, shughuli inakuja kutaja makutupora au Bolotoba kwenye maombi, huo ni mtihani kidogo 😅Akiwa anatuombea atakuwa anatutaja kwa majina gani? Haya haya ya jamii forum eh 🤓
Sawa sawa! Mimi siku Mungu akinikimbuka ntawatumia hela ya soda na wine!Ndio mkuu😁
Nope, sio mkuu😎🤣🤣🤣 Atleast Edo kissy najua ni Edwin, shughuli inakuja kutaja makutupora au Bolotoba kwenye maombi ni mtihani kidogo 😅
Unakazana kutaka makutupora malaika anaenda Dodoma kupeleka majibu sipo! Lahaaulaaaaaa!🤣🤣🤣 Atleast Edo kissy najua ni Edwin, shughuli inakuja kutaja makutupora au Bolotoba kwenye maombi, huo ni mtihani kidogo 😅
You think I can't play for makutupora do I look like a hooligan Theresa49🤣🤣🤣 Atleast Edo kissy najua ni Edwin, shughuli inakuja kutaja makutupora au Bolotoba kwenye maombi, huo ni mtihani kidogo 😅
Nimecheka sana, eti a hooligan 🤣You think I can't play for makutupora do I look like a hooligan Theresa49
kuna jamaa mtaani anaitwa mbungeMtaani kwangu wananiita Mbunge. Matatizo yote ya mtaa nasolve
Nimewajengea shule, zahanati na kuwachimbia visima bure kabisa
Mabinti wa secondary nimewajengea sehemu ya kusomea karibu na kwangu kwaajili ya ulinzi na kuwaepusha kutembea umbali mrefu kwenda kujisomea
Kwamba Sasa kumaanisha kwambaNimecheka sana, eti a hooligan 🤣
View attachment 3237366
Mimi najua kabisa wewe siyo “hooligan” boss, kwenye hilo hakuna shida.Kwamba Sasa kumaanisha kwamba
Mimi najua kabisa wewe siyo “hooligan” boss, kwenye hilo hakuna shida.
Ni jinsi tu ulivyoandika reply, niliifurahia!
Nakaribia, wewe utaongoza maombi au nije na biblia yangu 🤣 ?Karibu😝gheto tusali.
makutupora pole sana bruh!! Usichukue maamuzi mabaya wala kujiombea mabayaDuuh kiongozi hili jambo zito, pole sana una watu huwa unaongea nao kuhusu hili?
Usiombe Mungu akuue, bado tunakuhitaji.
Njoo na biblia mimi nitafunga tuNakaribia, wewe utaongoza maombi au nije na biblia yangu 🤣 ?
Asante sana Mkuu! Ubarikiwe sana sana Sanaa!makutupora pole sana bruh!! Usichukue maamuzi mabaya wala kujiombea mabaya
zaidi shukuru kwa hali hiyo kila unapomwomba Mungu!! Shukuru kwa kila jambo japo ni ngumu na inaumiza jipe moyo, amini unaenda kukutana na amani iliyo Bora kuliko mpenzi uliyetegemea awe amani kwako!!
Ndugu yangu fanya maamuzi sahihi, tumia muda mwingi kutafakari maisha yako kwenye positive view! Penda kusikiliza nyimbo km ni mpenzi wa nyimbo lkn ziwe za furaha zaidi, changamana na watu kiasi, ongea mwenyw kutoa kilicho ndani yako!
Nakutakia khery asubuhii ya Leo unaenda kuwa sawa,
meñ.....Asante sana Mkuu! Ubarikiwe sana sana Sanaa!
I appreciate 🙏
Nimefarijika sana Mkuu!A
meñ.....
Fanya hivyo mkuu!
Difficulties ni nyingi sana lkn sintojiua kisa mapenzi, ugumu wa maisha ninaopitia au circumstances yoyote!
Bora nife kivingne na sipo tyr kujiombea mabaya hata mara moja!
Nakusihi tafuta watu unaowaamini ukihisi upweke, hofu au huzuni zungumza nao upate relief, imba toa sauti, zungumza mwenyw as if una convo na mtu! Sipendi kuwaza sana sometimes naona sitaki kuchanganyikiwa nikawa mzigo kwa watu!
Nikutakie khery Tena, ukawe sawa kiakili, kimwili ukavuke kwenye mitihani unayopitia! Amen
Napenda kuona watu wakiwa na amani ya kawaida japo life has a lot of surprise, but we need kuwa stable kiakili ili uweze kuhandle all of your activities!Nimefarijika sana Mkuu!
Maneno yako yamejaa nguvu na Upendo. Umeyasema kutoka moyoniiii!
Nashukuru sana sana ... Na iwe kwangu na Zaidi kama ulivyosema!
Hapa lazima nivuke! Na lazima nije nitoe ushuhuda
Umenena mkuu, kuna mtu ana mawazo ya kumpindua Rais madarakani, lakini akieleza hizo hisia zake utasikia "unaota wewe"Nashangaa wakati mwingine unaandika nyuzi ya kawaida tu, ila watu wanareply haiwezekani, chai, uongo 😵. Mngejua, kuna mambo ya kustaajabisha watu wameyabeba moyoni, hawawezi tu kusema na hata wakisema hamtawaamini.
Anyway, hivyo vibao viwaburudishe (mimi baadhi ya yale ya moyoni ambayo siwezi kuyasema yametajwa kidogo kwenye hizi nyimbo)
View: https://youtu.be/yM_0BhO4UAk?si=4RtKKNwAe54I4hLE
View: https://youtu.be/0wfWPRXHodY?si=UdiX9gVt73qvhHAg