Kila mtu ana malaika wake special wa kutunza kumbukumbu za Kila ukifanyacho duniani MAISHA yako yote

Rabbon

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2022
Posts
25,937
Reaction score
41,161
Salaam, Shalom!

Usilolijua ni kuwa, Kila mtu anaye malaika special toka kwa Mungu tangu kuzaliwa aliyeweka kuchukua kumbukumbu zote za mtu Akali akiishi na kuziandika kwenye KITABU maalum.

Killa ukifanyacho kinaandikwa, matendo yote, mazuri kwa mabaya ynaandikwa, ndio maana Mungu huwa anapata taarifa zote za Mtu yeyote akizihitaji sababu ana mfumo unaompa taarifa.

Malaika huyo yupo, humwoni illa yupo, njiani yupo, kazini yupo, sokoni yupo, kanisani yupo ,ulipo yupo, kazi yake maalum ni hiyo tu, kuandika kumbukumbu.

Ulisoma KITABU CHA

(Ufunuo 20:12-15) utaona vitabu kikifunguliwa,

12: Nikawaona wafu,wakubwa kwa wadogo,wamesimama mbele ya hicho kiti Cha Enzi, na vitabu vikafunguliwa, na KITABU kingine kikafunguliwa ambacho ni Cha uzima, na hao wafu wakahukumiwa Katika mambo hayo yaliyoandikwa Katika vile vitabu, sawasawa na matendo yao.

13: Bahari ikawatoa wafu waliokuwamo ndani yake, na mauti na kuzimu zikawatoa wafu waliokuwamo ndani yake. Wakahukumiwa Kila mtu kwa kadri ya matendo yake.

15: Na iwapo mtu yeyote hakuonekana ameandikwa Katika KITABU CHA UZIMA, alitupwa Katika lille Ziwa la moto.

NB: Wanaoandikwa KITABU CHA UZIMA, ni shart wawe wamemkiri Yesu kuwa Bwana na MWOKOZI wa MAISHA yao. Matendo mema pekee hayatoshi.

.... mwisho wa kunukuu...

(Luke 12:2-3)

2: Lakini hakuna neno lililositirika ambalo halitafunuliwa,wala lililofichwa ambalo halitajulikana.

3: Basi yoyote mliyosema gizani yatasikiwa mwangani, na mliyosema sikioni mwa mtu Katika vyumba vya ndani, yatahubiriwa juu ya Dari.

.. mwisho wa kunukuu...

Sasa Ili taarifa zako zimfikie Mungu, kwa ushahidi uliokamilika, amekuwekea mlinzi, mtu za kumbukumbu, usifanye UOVU ukadhani huonekani, Kila kitu ki wazi, akitaka uumbuke, atawaonyesha watu KUPITIA NDOTO.

Ikiwa hujampa Yesu mmaisha yako Ili uandikwe Katika KITABU CHA UZIMA, fuatisha sala hii.

EE MUNGU KATIKA JINA LA YESU KRISTO, NINA KUKIRI WEWE KUWA BWANA NA MWOKOZI WA MAISHA YANGU, NINATUBU DHAMBI ZANGU ZOTE, NINAOMBA UNISAMEHE, ULIFUTE JINA LANGU KATIKA KITABU CHA HUKUMU, ULIANDIKE JINA LANGU KATIKA KITABU CHA UZIMA, NIPE UWEZO WA KUISHI MAISHA MATAKATIFU, DHAMBI ISINISHINDE, UOVU USINISHINDE, ULEVI USINISHINDE, UZINZI USINISHINDE, UCHAWI USINISHINDE, NINAOMBA HAYO KUPITIA JINA LA YESU KRISTO ALIYE BWANA NA MWOKOZI WA MAISHA YANGU. AMEN.

Mungu awabariki sana 🙏
 
Kulingana na mada hapo juu,

Hakuna kitu kinaitwa faragha mbele za Mungu,

Hakipo Cha kumficha Yeye.
 
Na kwa mujibu wa mada hapo juu,

Mbele za Mungu, hakipo kitu kinaitwa "Wasiojulikana".

Wote wanajulikana. Maana ikiwa shimo la kuzimu tunayajua yanayoendelea huko, Kadhalika, hakipo kitatokea duniani Mungu asijue KUPITIA mfumo wake wa kupokea taarifa ( malaika mtunza kumbukumbu).
 
Salaam, Shalom!

Usilolijua ni kuwa, Kila mtu anaye malaika special toka kwa Mungu tangu kuzaliwa aliyeweka kuchukua kumbukumbu zote za mtu Akali akiishi na kuziandika kwenye KITABU maalum.

Killa ukifanyacho kinaandikwa, matendo yote, mazuri kwa mabaya ynaandikwa, ndio maana Mungu huwa anapata taarifa zote za Mtu yeyote akizihitaji sababu ana mfumo unaompa taarifa.

Malaika huyo yupo, humwoni illa yupo, njiani yupo, kazini yupo, sokoni yupo, kanisani yupo ,ulipo yupo, kazi yake maalum ni hiyo tu, kuandika kumbukumbu.

Ulisoma KITABU CHA

(Ufunuo 20:12-15) utaona vitabu kikifunguliwa,

12: Nikawaona wafu,wakubwa kwa wadogo,wamesimama mbele ya hicho kiti Cha Enzi, na vitabu vikafunguliwa, na KITABU kingine kikafunguliwa ambacho ni Cha uzima, na hao wafu wakahukumiwa Katika mambo hayo yaliyoandikwa Katika vile vitabu, sawasawa na matendo yao.

13: Bahari ikawatoa wafu waliokuwamo ndani yake, na mauti na kuzimu zikawatoa wafu waliokuwamo ndani yake. Wakahukumiwa Kila mtu kwa kadri ya matendo yake.

15: Na iwapo mtu yeyote hakuonekana ameandikwa Katika KITABU CHA UZIMA, alitupwa Katika lille Ziwa la moto.

NB: Wanaoandikwa KITABU CHA UZIMA, ni shart wawe wamemkiri Yesu kuwa Bwana na MWOKOZI wa MAISHA yao. Matendo mema pekee hayatoshi.

.... mwisho wa kunukuu...

(Luke 12:2-3)

2: Lakini hakuna neno lililositirika ambalo halitafunuliwa,wala lililofichwa ambalo halitajulikana.

3: Basi yoyote mliyosema gizani yatasikiwa mwangani, na mliyosema sikioni mwa mtu Katika vyumba vya ndani, yatahubiriwa juu ya Dari.

.. mwisho wa kunukuu...

Sasa Ili taarifa zako zimfikie Mungu, kwa ushahidi uliokamilika, amekuwekea mlinzi, mtu za kumbukumbu, usifanye UOVU ukadhani huonekani, Kila kitu ki wazi, akitaka uumbuke, atawaonyesha watu KUPITIA NDOTO.

Ikiwa hujampa Yesu mmaisha yako Ili uandikwe Katika KITABU CHA UZIMA, fuatisha sala hii.

EE MUNGU KATIKA JINA LA YESU KRISTO, NINA KUKIRI WEWE KUWA BWANA NA MWOKOZI WA MAISHA YANGU, NINATUBU DHAMBI ZANGU ZOTE, NINAOMBA UNISAMEHE, ULIFUTE JINA LANGU KATIKA KITABU CHA HUKUMU, ULIANDIKE JINA LANGU KATIKA KITABU CHA UZIMA, NIPE UWEZO WA KUISHI MAISHA MATAKATIFU, DHAMBI ISINISHINDE, UOVU USINISHINDE, ULEVI USINISHINDE, UZINZI USINISHINDE, UCHAWI USINISHINDE, NINAOMBA HAYO KUPITIA JINA LA YESU KRISTO ALIYE BWANA NA MWOKOZI WA MAISHA YANGU. AMEN.

Mungu awabariki sana 🙏
kwani malaika wameenda shule??,,mimi ninavojua kinachorekodi maishaye2 ni ardhi!!! malaika kazi yao ni kutulinda
 
Vipi nichafue hali ya hewa kwa kukuitia Kiranga?
 
Thibitisha Mungu yupo, thibitisha malaika wapo.
 
sasa hao malaika si angewapa tu kazi ya kumuua shetani?
 
Uongo. Mie sina. Mbona simuoni? Mwambie ajitokeze nimzodoe.
 
Back
Top Bottom