EllySkyWilly
JF-Expert Member
- Aug 28, 2020
- 2,204
- 2,086
Kila mtu huhitaji maendeleo, lakini sio wote wanaofahamu na kukubali hitaji muhimu ili uwe na maendeleo.
Hitijai muhimu la maendeleo ni kufanya kazi kwa bidii.
Tuache kudanganyika vijana tujitume tufanye kazi kwa bidii.
Mtu asije kukudanganya utachelewa sana na utazeeka kwa kuwasindikiza wenzako fanya kazi acha uvivu.
Maendeleo ya mtu ni mtu mwenyewe.
Tuiache serikali ifanye majukumu yake muhimu ya kujenga miundombinu imara, umeme, maji, elimu, barabara imara, reli, usafiri wa anga n. k.
Tuiache serikali ifanye mambo muhimu kama ya kuboresha kilimo, utalii, elimu na afya.
Serikali ifanye kazi ya kukusasanya kodi na kuzisimamia ipasavyo. Serikali ifanye kazi ya kupambana na adui wa mapato yetu ambaye ni ufisadi na rushwa. Serikali ifanye kazi ya kusimamia rasilimali za asilia kama madini na gesi.
Kodi zilizo kusanywa na kusimamiwa ipasavyo zitumike kuimarisha miundombinu mbalimbali, elimu na afya.
Serikali isikubali kunyonywa na mabeberu hata kidogo. Beberu asiruhusiwe kunyonya rasilimali zetu. Mapato yanayotokana na rasilimali zetu yatumike pia kwenye kuimarisha miundombinu, elimu na afya.
Watumishi wa umma kodi zetu ndizo zinazotumika kuwalipa mishahara na kuongezea mishahara. Hivyo serikali isipo kusanya kodi kikamilifu hakika hata ulipaji wa mishahara utakua ni mgumu sana. Hivyo ili mishahara iendeleee ni wazi tunahitaji serikali inayo kusanya kodi kwa wingi.
Mtu pekee mwenye uwezo wa kukusanya kodi ni Dakitari Magufuli tu. Hivyo mtu asikudanganye tarehe 28 mpe kura yako Dakitari Magufuli.
Kutengeneza serikali yenye maendeleo ya watu badala ya maendeleo ya vitu naweza kuifananisha na familia inayokula na kuvaa vizuri huku inaishi kwenye nyumba za kupanga miaka nenda rudi. Katu huwezi kujenga nyumba unawaza tu kuvaa na kula. Ukikuta mtu amejenga nyumba ujue alifanya bajeti na kujinyima sana.
Ni hayo tu.
Ni kijana wenu.