Kila mtu kuna madhabahu yake anayotoa sadaka, wengine madhabahu zao ni bar, wengine kwenye vinena vya malaya, wengine kwa waganga je wewe unatoa wapi?

Kila mtu kuna madhabahu yake anayotoa sadaka, wengine madhabahu zao ni bar, wengine kwenye vinena vya malaya, wengine kwa waganga je wewe unatoa wapi?

KING MIDAS

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2010
Posts
8,589
Reaction score
16,936
Kila mtu kuna madhabahu yake anayotoa sadaka, wengine madhabahu zao ni bar, wengine kwenye vinena vya malaya, wengine kwa waganga, wengine ni kwenye perfumes za bei mbaya, wengine kwenye simu, wengine kwenye magari ya kifari.

Kule pesa yako nyingi iendako, ndiko kwenye madhabahu yako.
 
Cha ajabu sadaka ya shilingi 1,000/= tu anayopewa Mungu inaweza kunungunikiwa mwaka mzima.

Lakini Sadaka ya 100,000/= anayopewa Malaya na ugonjwa akamuachia mtoaji, hiyo Huwa haimuumizi mtoaji.

Ila ngoja siku yamkute, afya shida, Malaya kapotea, Ndugu wako mbali, ndio utasikia huyo Mungu anavyotajwa!
 
Sibeti, sihongi, sinywi pombe, sivuti bange , sili mirungi hamna mahali hela yangu inaenda arif
Basi wewe madhabahu yako inaitwa Behemoth, unakula kama kiwavi jeshi.

images.jpeg
 
Cha ajabu sadaka ya shilingi 1,000/= tu anayopewa Mungu inaweza kunungunikiwa mwaka mzima.

Lakini Sadaka ya 100,000/= anayopewa Malaya na ugonjwa akamuachia mtoaji, hiyo Huwa haimuumizi mtoaji.

Ila ngoja siku yamkute, afya shida, Malaya kapotea, Ndugu wako mbali, ndio utasikia huyo Mungu anavyotajwa!
Igweeeeeeeee 😹
 
Back
Top Bottom