KING MIDAS
JF-Expert Member
- Dec 1, 2010
- 8,589
- 16,936
Basi wewe madhabahu yako inaitwa Behemoth, unakula kama kiwavi jeshi.Sibeti, sihongi, sinywi pombe, sivuti bange , sili mirungi hamna mahali hela yangu inaenda arif
Huli chakula?sinywi pombe, sivuti sigara au bhangi, mpira naangalia home.
Mangi hata PepsiSibeti, sihongi, sinywi pombe, sivuti bange , sili mirungi hamna mahali hela yangu inaenda arif
Hela sio lazima ziende msikitini au kanisani Bali lazima ziende madhabahuniSadaka Sadaka nye nye nye nye.. kwani lazima sadaka ziende huko makanisani na misikitini
Za mashetaniKuna wale wana ccm na madhabau zao View attachment 3261278
Wanaume wengine mipododo inawasha, usiku kucha wanatafuta mabazazi wawakuneBetpawa
Hanson choice
Safari lager
Konyago
Sk
Ovaaa
Igweeeeeeeee 😹Cha ajabu sadaka ya shilingi 1,000/= tu anayopewa Mungu inaweza kunungunikiwa mwaka mzima.
Lakini Sadaka ya 100,000/= anayopewa Malaya na ugonjwa akamuachia mtoaji, hiyo Huwa haimuumizi mtoaji.
Ila ngoja siku yamkute, afya shida, Malaya kapotea, Ndugu wako mbali, ndio utasikia huyo Mungu anavyotajwa!
Sabuni na mafuta nayo hutumii??Sibeti, sihongi, sinywi pombe, sivuti bange , sili mirungi hamna mahali hela yangu inaenda arif
Majini?
NatumiaSabuni na mafuta nayo hutumii??
Pepo la utelezi feki likutokeNatumia