Kila mtu na mnyonge wake, Lema ampa AMRI moja Peter Msigwa ya kufuta maoni yake, Afuata

MoseKing

JF-Expert Member
Joined
Jul 5, 2017
Posts
4,928
Reaction score
8,976
Chama kina wenyewe. Na wenyewe wana makazi chini ya mlima mrefu

IMG_20220109_093744.jpg

IMG_20220109_093740.jpg
 
Mikashfa kibao na kauli za dharau kuwa wa kumshitaki yupo ila wa kumfunga hayupo bado mnataka awe spika?

Watanzania mmejaza maziwa mtindi kwenye bongo zenu? Mbona kusahau namna hii
Chenge ni mshirika wa Peter Msigwa
 
hahahaha kila chama huwa tunawaambia kina wenyewe...Lema ni mmoja wa wenyewe pia..

Wenyewe walivyotaka EL awe akawa...na wakuja walivyopinga walitulizwa..
 
Chama kina wenyewe. Na wenyewe wana makazi chini ya mlima mrefu

View attachment 2074380

View attachment 2074381
Spika akiwa mtu tajiri ni nafuu zaidi kuliko aliyezaliwa kwenye umaskini akakulia umaskini. Mfano ni Polepole, Kabudi, Bashiru, Makonda, Ndugai

Nadhani nimeeleweka.

Hawa jamaa walipata fursa kipindi chao. Kwakuwa ni wanyonge kama sisi tulidhani tumepona. Lakini katika kipindi chao Utekaji, mauwaji, uhuru wa habari, uhuru wa kutoa maoni ukawa hatarini.
 
Chenge ni mshirika wa Peter Msigwa
Ndio ujue hawa wana siasa wengi ni wajinga wajinga tu na wapigaji waliopata nafasi hizo kwa ujinga wa wanyonge wengi.
Eti Msigwa nae ni kiongozi, Lema?
 
Spika akiwa mtu tajiri ni nafuu zaidi kuliko aliyezaliwa kwenye umaskini akakulia umaskini. Mfano ni Polepole, Kabudi, Bashiru, Makonda, Ndugai

Nadhani nimeeleweka.

Hawa jamaa walipata fursa kipindi chao. Kwakuwa ni wanyonge kama sisi tulidhani tumepona. Lakini katika kipindi chao Utekaji, mauwaji, uhuru wa habari, uhuru wa kutoa maoni ukawa hatarini.
Nafikiri unagenda rofauti kati hoja ya juu na hoja ya chini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Spika akiwa mtu tajiri ni nafuu zaidi kuliko aliyezaliwa kwenye umaskini akakulia umaskini. Mfano ni Polepole, Kabudi, Bashiru, Makonda, Ndugai

Nadhani nimeeleweka.

Hawa jamaa walipata fursa kipindi chao. Kwakuwa ni wanyonge kama sisi tulidhani tumepona. Lakini katika kipindi chao Utekaji, mauwaji, uhuru wa habari, uhuru wa kutoa maoni ukawa hatarini.

Kuna uhusiano gani kati ya utekaji na umaskini?
 
Lema ni darasa la saba B ila ndiye anayewapelekesha hata PHD holders pale ufipa. Pia ndiye mtabiri, nabii na mchawi wa CDM, nyumbu wote wa CDM wanasikiliza nini anasema huyo Nabii.

Sio ajabu mchungaji Msigwa kufuata ushauri wa 'kilaza' Lema. Kwa mtindi huu wacha CCM waendelee kutufanya mazuzu.
 
Kwahiyo uhuru wa kutoa maoni wanaoupigania hata huko kwao hakuna? Msigwa si ametoa tu maoni yake tena kupitia page yake binafsi? CHADEMA wanafiki sana
 
hahahaha kila chama huwa tunawaambia kina wenyewe...Lema ni mmoja wa wenyewe pia..

Wenyewe walivyotaka EL awe akawa...na wakuja walivyopinga walitulizwa..

Hakumwambia kwa kumuamrisha kama mnavyotaka kupotosha au kucapitilize kwenye kinachoendelea huko CCM, bali alimwambia kwa utani wenye mantiki ya kuwa, huyo anayempendekeza ni sehemu ya cancer iliyopo kwenye mifumo yetu.
 
Back
Top Bottom