Kila mtu na mnyonge wake, Lema ampa AMRI moja Peter Msigwa ya kufuta maoni yake, Afuata

Kila mtu na mnyonge wake, Lema ampa AMRI moja Peter Msigwa ya kufuta maoni yake, Afuata

Joka La Kijani Andrew Chenge
20220109_113028.jpg
 
Chama kina wenyewe. Na wenyewe wana makazi chini ya mlima mrefu

View attachment 2074380

View attachment 2074381
Hiyo amri ni kali kweli kweli. Imenikumbusha maneno ya Yesu wakati akiulizwa maswali akawa anawajibu kwa kifupi Wewe wasema! Sasa imekuja Futa na kweli mtu katii na kufuta mithili ya mapepo yanapotii amri za mitume na manabii!!

Kweli kila mja na mbabe wake!! Futa na ikawa!
 
Hakumwambia kwa kumuamrisha kama mnavyotaka kupotosha au kucapitilize kwenye kinachoendelea huko CCM, bali alimwambia kwa utani wenye mantiki ya kuwa, huyo anayempendekeza ni sehemu ya cancer iliyopo kwenye mifumo yetu.
Akafuta!
 
Kwahiyo uhuru wa kutoa maoni wanaoupigania hata huko kwao hakuna? Msigwa si ametoa tu maoni yake tena kupitia page yake binafsi? CHADEMA wanafiki sana
Hata NDUGAI alitoa mawazo yake. Kilichompata, sina shaka unakijua!
 
Back
Top Bottom