Hiyo amri ni kali kweli kweli. Imenikumbusha maneno ya Yesu wakati akiulizwa maswali akawa anawajibu kwa kifupi Wewe wasema! Sasa imekuja Futa na kweli mtu katii na kufuta mithili ya mapepo yanapotii amri za mitume na manabii!!
Hakumwambia kwa kumuamrisha kama mnavyotaka kupotosha au kucapitilize kwenye kinachoendelea huko CCM, bali alimwambia kwa utani wenye mantiki ya kuwa, huyo anayempendekeza ni sehemu ya cancer iliyopo kwenye mifumo yetu.