Tulizeni vishimo hivyo mumeyataka wenyeweHili ni swali kwa wanazuoni wanaojua sheria waliomo humu
Unaweza kutaja watuhumiwa watatu tuu wanaotaka Raisi awe shahidi wao?Hili ni swali kwa wanazuoni wanaojua sheria waliomo humu
Mtuhumiwa gani mwingine ametaka Rais kufika mahakamani kama shahidi?Hili ni swali kwa wanazuoni wanaojua sheria waliomo humu
Kumbuka kesi ya lissu ni uhaini wewe chawaHili ni swali kwa wanazuoni wanaojua sheria waliomo humu
Kivipi ni precedence ya ajabu ?mahakama haiwezi kuweka precendence ya ajabu namna hiyo ndugu yenu ameyatimba
Unachotakiwa kujua Lissu haogopi kufa! hizo ni gia tu ana adjust kuona kama mtazidi kumfuata kwenye level zake na ndio maana kwa mkumbo ili msionekane wanyonge manasogea na nyinyi, tayari hapo samia hatoenda mahakamani maana tayeri kikao kimeshafanyika ndio maana wakili katetea hilo na wamejipanga kuzuia samia asiende sasa jamaa nae atakaza mashahidi wake waje na kukaa mahakamani kazoea kama vile furniture za magereza, huku akiwashindilia kwenye shimo la sanction za kutosha, kumbukeni tiyari kuna shimo moja mshazama lile za siku 30! Anawakipu bize tena mudili na yeye huku mkisogea kwenye giza jingine.mahakama haiwezi kuweka precendence ya ajabu namna hiyo ndugu yenu ameyatimba
Kama unawategemea hao mliopànga nao uhaini wawasaidie mmefeli pakubwa mtashighulikiwa ipasavyo ....vibaraka wakubwa nyieUnachotakiwa kujua Lissu haogopi kufa! hizo ni gia tu ana adjust kuona kama mtazidi kumfuata kwenye level zake na ndio maana kwa mkumbo ili msionekane wanyonge manasogea na nyinyi, tayari hapo samia hatoenda mahakamani maana tayeri kikao kimeshafanyika ndio maana wakili katetea hilo na wamejipanga kuzuia samia asiende sasa jamaa nae atakaza mashahidi wake waje na kukaa mahakamani kazoea kama vile furniture za magereza, huku akiwashindilia kwenye shimo la sanction za kutosha, kumbukeni tiyari kuna shimo moja mshazama lile za siku 30! Anawakipu bize tena mudili na yeye huku mkisogea kwenye giza jingine.
Umeelewa lakini au unatumia hasira? Kwanza mko tayari kufuata maagizo ya common wealth? Utasema hamko tayari lakini dalili zinaonesha mko tayari kabisa:Kama unawategemea hao mliopànga nao uhaini wawasaidie mmefeli pakubwa mtashighulikiwa ipasavyo ....vibaraka wakubwa nyie
Nchi hii ilipata uhuru mwaka 1961 haiendeshwi wala kusimamiwa na common wealth ...WEKA AKILINIUmeelewa lakini au unatumia hasira? Kwanza mko tayari kufuata maagizo ya common wealth? Utasema hamko tayari lakini dalili zinaonesha mko tayari kabisa:
1. Mtamani jamaa atoke lakini ngumu ipo hapa, anatokaje wakati hataki kuwapigia magoti!
2.Mnataka maridhiano walau mpate cha ku submeet common wealth. Bila kuonekana sio wanyonge hamtaki kuonesha kuwa cdm ndio key ya maridhiono na kete yao ipo kisutu! Patamu hapoooo waite katiiii.
3. Mnachekecha nani awelete cdm kwenye maridhiano vichwa vinawauma! TEC walienda ikulu wenyewe na harakati zao za kila siku mkawapiga picha hadi za mbuvuni mkalopoka ooooh tec wamekuja wanataka maridhiano, Kitima akatoka akategua mtego wenu akakataa msipotoshe.
Aya sasa wanangu wagumu siku zinasogea mnaumwa maradhi mengi hadi dawa mnashindwa kumeza lile gonjwa la siku 30 mlishalipotezea lkn jueni virus vimo kwenye miili yenu, magonjwa mengine yanawanyemelea nayo mnayaingia taratibu.
Ushauri wangu ni ivi common wealth walivowapangia list ya matukio ndio mlitakiwa mfanye ili iwe rahisi sasa mkaona step ya kwanza itawaaibisha mnashauriana mvute subira mfanikishe step za mbele! Mmeona ugumu unaowasibu?
Hahitaji huwo ujinga samia sio Mungu kwamba aombwe samahani, nyinyi huko lumumba umbeni msamha na kumtukuza ila mwisho wake upo.anataka akamuombe msamaha??