peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 18,223
- 31,465
Hii kesi,tukicheza nayo,itaharibu hukumu zijazo za Mahakama
Mnamshtaki mtu kwa kosa ambalo hata uzito wake hamlijui? Au hamuelewi hata maana halisi ya neno UHAINI?Hili ni swali kwa wanazuoni wanaojua sheria waliomo humu
Ukiwa na uelewa japo mdogo tu, huwezi kuuliza swali kama hilo. Haiwezekani kila mtuhumiwa amtake Rais kuwa shahidi kwa sababu siyo tuhuma zote zinamgusa Rais.Hili ni swali kwa wanazuoni wanaojua sheria waliomo humu
Ghafla milio imekuwa miiiingi kila kona ama kweli mwana kulitafuta mwana kuliget shahid bi kizmkaz mirembuo aenda tu akatoe mipasho mahakamaniHili ni swali kwa wanazuoni wanaojua sheria waliomo humu
Siyo kuharibu tu! Mahakama zetu zitaoneka ni kangaroo courts kama alivyo zituhumu Rostam Aziz mwaka 2023.Hii kesi,tukicheza nayo,itaharibu hukumu zijazo za Mahakama
Mnatengeneza kesi za kukomoa watu kisha mnaanza kujiliza. Kesi hiyo ni uhaini. Ina mahusiano ya moja kwa moja cheo cha urais. Kama mlitegemea mtakomoa watu kwa ulevi wa madaraka ya wizi, basi safari hii kila kitu kinawekwa wazi. Ule upuuzi wa kuwa hakuna aliye juu ya sheria unaweka wazi peupe.Hili ni swali kwa wanazuoni wanaojua sheria waliomo humu
Serikali ni nini?Ukiwa na uelewa japo mdogo tu, huwezi kuuliza swali kama hilo. Haiwezekani kila mtuhumiwa amtake Rais kuwa shahidi kwa sababu siyo tuhuma zote zinamgusa Rais.
Hii ya Lisu, inaleta sense kwa sababu uhaini hufanywa dhidi ya Rais. Uhaini ni kesi ya kupindua Serikali, na kimsingi anayepinduliwa ni mkuu wa Serikali, yaani Rais.
Mtajua kama Rais ni MuhimiliMnatengeneza kesi za kukomoa watu kisha mnaanza kujiliza. Kesi hiyo ni uhaini. Ina mahusiano ya moja kwa moja cheo cha urais. Kama mlitegemea mtakomoa watu kwa ulevi wa madaraka ya wizi, basi safari hii kila kitu kinawekwa wazi. Ule upuuzi wa kuwa hakuna aliye juu ya sheria unaweka wazi peupe.
Wakati huo huo huthubutu kuongelea ni wapi kura 31m zilitokea. Kwa taarifa yako, zile kura 31m za uongo ndio Siri ya kilichotokea 29 October. Zungukeni mtakavyo, poreni, lipeni machawa mpenda yo huo ndio ukweli unaofichwa.Oktoba 29 ilifuatiwa na vifo hii ni baada ya kauli za uchochezi
Acheni mambo ya kitoto nyinyi maccm! Chanzo cha yale machafuko ni ujinga wenu nyinyi wenyewe wa kudharau haki za msingi za wananchi.Oktoba 29 ilifuatiwa na vifo hii ni baada ya kauli za uchochezi
Urais wa tawala za wizi hakuna mwenye hofu nao. Safari hii ndio mtajua mamlaka za kupora Zina shida zake. Lisu ameset standard ya hali ya juu sana kwenye kuonyesha ni kwa kiwango gani mamlaka ya rais yanayotumika kipuuzi hayatakiwi tena kwenye katiba mpya.Mtajua kama Rais ni Muhimili
Wakili katuga amest standard za karne mpyaUrais wa tawala za wizi hakuna mwenye hofu nao. Safari hii ndio mtajua mamlaka za kupora Zina shida zake. Lisu ameset standard ya hali ya juu sana kwenye kuonyesha ni kwa kiwango gani mamlaka ya rais yanayotumika kipuuzi hayatakiwi tena kwenye katiba mpya.
Kwenye mahakama za ccm.Wakili katuga amest standard za karne mpya
Akimuomba msamaha atakuwa huru?anataka akamuombe msamaha??
Kwani hii ni kesi ya Kila uharifu au ni kesi ya uhaini?. Wewe hata akili ya kuvukia barabara imekata kabisa?Hili ni swali kwa wanazuoni wanaojua sheria waliomo humu
mwambieni mamayenu aende kutoa ushahidi mnalialia nini? asipoenda ndo tutajua kuwa anadharau mahakama.Hili ni swali kwa wanazuoni wanaojua sheria waliomo humu