Taratibu mdogo wangu!! Kwa hivi ulivyojibu inaonyesha kabisa hakuna ulichokijua tena naomba hiki ulichokiandika kifute haraka sana kuepuka kuonekana mjinga...hebu ndani ya hiyo miaka hiyo uliyoitaja taja mradi wako mkubwa nchini kwako ulioufanya bila kiwategemea hao common wealth???? Mdogo wangu fatilia nchi yako vizuri sio unaleta akili ya kufundishwa nchi yako imepata uhuru mwaka ganiNchi hii ilipata uhuru mwaka 1961 haiendeshwi wala kusimamiwa na common wealth ...WEKA AKILINI
We chawa hii ni kesi ya uhaini, yaani kupindua serikali...sasa huyo kilazaa afike mahakamani apigwe cross examination tujue ni lini alifahamu anataka kupinduliwa kwenye kiti!.Hili ni swali kwa wanazuoni wanaojua sheria waliomo humu
Akikujibu nitaggHili swali gani???? Ebu taja kwanza hao wahalifu wasiopungua wawili wanaotaka Rais awe shahidi
Hilo jina la maudenda lifute kwa kustahi utuNiliwahi kuwaambia kuwa watanzania wengi ni wafuata mkumbo na ni majuha
-manyumbu humu walikuwa wanawajaza maneno manyumbu wenzao, mara oo atatoka, mara oo anachomoka....aliyewaambia kuwa maudenda ana akili ya kisheria kuliko mawakili wengne ni nani?
Nataka tu niwaambie kuwa maudenda anajua kupga kelele tu, lakn kwenye sheria ni kama wengne...amekutana na majaji wametuliza akili na wamempa haki yake... unataka sifa kizimbani kwa kuwataja viongozi wakuu wa jamhur?
Maudenda anatakiwa kufia kwenye kuta za gereza halafu commonwealth, eu na usa waje kumzika kwao ikungi.
"Hakuna kuridhiana hadi tujue aliyeratibu mapinduzi yale na uhaini, pamoja na kuzuia watanzania kutimiza haki yao ya kikatiba"
Nimefuta mkuu, na nimetaja jina lakeHilo jina la maudenda lifute kwa kustahi utu
Kama ilipata uhuru zile pesa mnalipa watu kufanya lobbying kwa wakoloni wenu, lengo nini?Nchi hii ilipata uhuru mwaka 1961 haiendeshwi wala kusimamiwa na common wealth ...WEKA AKILINI