Kila Mwanamke Ana Wanaume Watatu

Acha hizi nadharia za mapenzi vijana zitawaua.

Tafuta vitu vingine vya kujipatia furaha ila si wanawake au wanaume.

Maisha yamevutuga watu hakuna aliyesalama, mke na mume wote wamekuwa hamnazo kwenye mapenz

Tafuta kitu kinachokupa furaha au huzuni nje yamapenzi utayafutahia maisha.

Tafuta mwanamke au mume Ambae unahisi hatakupa presha zaa nae idadi yawatoto unaowataka ikitimia mlie timing akizungua achana nae Lea watoto wako.

Vijana Kuna vitu vingi vyakufurahia hapa dunia mpaka mapenzi yenyewe yanaomba sub.

Kam hujui nitafuteni mim pm niwape vitu, yaan mpaka mapenz nakuambia hutayakumbuka
 
Ni mindset za kigalatia hizi. Mahusiano yako na Mungu ni mabaya ndo maana uko hapa kusema mwanamke ana wanaume watatu, ungekuwa na mahusiano mazuri na Mungu, ungempata mwanamke wa peke yako.
Mahusiano yake na sir God ndio yanamponza
 
Bora wanawake wao Wana wanaume 3, ukija kwa wanaume sasa ndo nisiseme kabisa😂
 
Lakini vp mkuu ulipata chochote kitu?😊
Hata busu sikupata mkuu.
Nikaachana naye tuu na namba yake Bado ninayo na Nina view status zake tuu bila kinyongo

Au Kuna shidoo??
 
Afu kuna wanawake wana kuja kuolewa na guy with no chance wakikosa kuolewa na main guy na second guy wanamvisha the guy with no chance bomu la ndoa. 😂😂😂
The guy with no chance na the backup guys wote ni simps, bad news huwa wanajua but they ignore na kujijaza na matumaini hewa

mwanamke ambae option alizokuwa anazitegemea zikimpiga chini, anampa chance the lowest bidder just kuficha failure yake, matokeo yake ni kwamba mle kwenye ndoa huyo guy ataenda kukiona

Mwanaume wa kweli usikubali kuwa last option, haijalishi mwanamke anakuvutia vipi, ukikubali tu hiyo dhamani yako imeshuka forever, rather stay single than being the last guy on the list
 
Tunakuja.
 
Hii naishi nayo kuwekwa kiporo mm nasema nitakaa kwa muda ila nikisha kula nita show unyama wangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…