Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HahahaThe guy with no chance na the backup guys wote ni simps, bad news huwa wanajua but they ignore na kujijaza na matumaini hewa
mwanamke ambae option alizokuwa anazitegemea zikimpiga chini, anampa chance the lowest bidder just kuficha failure yake, matokeo yake ni kwamba mle kwenye ndoa huyo guy ataenda kukiona
Mwanaume wa kweli usikubali kuwa last option, haijalishi mwanamke anakuvutia vipi, ukikubali tu hiyo dhamani yako imeshuka forever, rather stay single than being the last guy on the list
Inatokea sana hii, familia zina nguvu ya ku force mwanamke aolewe na mtu asiempenda, matokeo ya ndoa hiz huwa zinaonekana mbeleni.Na kwanini utoe mahari kwa mwanamke ambaye hakupendi. Ni rahisi sana kufahamu kuwa mwanamke hakupendi, anakutumia tu.
Kabisa mkuu.Inatokea sana hii, familia zina nguvu ya ku force mwanamke aolewe na mtu asiempenda, matokeo ya ndoa hiz huwa zinaonekana mbeleni.
Ila kamw mwanaume unatakiwa ufaham hili waaay back, itakuokoa sana