Kila Mwanamke Ana Wanaume Watatu

Mkuu mbona umeonge kwa uchungu kama vile kuna somebody anakuchukulia kama Simp.
 
Epuka sana kuwa judgemental mkuu, hao walio na mahusiano mazuri na Mungu wanatombewa sana wake zao.
Shauri zako. Una umri gan kwanza??
Sijawahi ona mwenye mahusiano mazuri na MUNGU akasalitiwa kwenye ndoa halali, ukiona imetokea, eidha anamtumikia Mungu wa uongo ama yeye ni mnafiki, ni mwema mbele za watu ila ni mwovu mbele za Mungu.
 
Na kila MWANAUME ana wanawake wangapi?
 
Sijawahi ona mwenye mahusiano mazuri na MUNGU akasalitiwa kwenye ndoa halali, ukiona imetokea, eidha anamtumikia Mungu wa uongo ama yeye ni mnafiki, ni mwema mbele za watu ila ni mwovu mbele za Mungu.
haya sawa, ngoja siku ugundue huyo mkeo wahuni wanakogongea ushindwe kuamini mwisho ujinyonge
 
Kama hujatoa mahari, si wako. Kama umetoa mahari na una uhakika anakupenda na kukuheshimu, ni wako.
Mahari has nothing to do with how mwanamke ana feel kuhusu wewe, unaeza toa mahari ya 100 but back on her mind mapenzi yako kwa mwingine

So whatch out bro
 
anaishije jamani namuonea huruma

nakumbuka uliniambia una miaka 3 hujashiriki sunna
😹😹😹
Ila unajitahidi kunichokoza, wapi nilikwambia hayo maneno?!!

Sio miaka 3 tu ila toka nizaliwe sijawahi na sijui wananzaje na wanamalizaje 🀭
 
Achana na hizo zote ushawahi kuwa friendzoned?πŸ˜‚ Ni hatari na nusu
 
Mahari has nothing to do with how mwanamke ana feel kuhusu wewe, unaeza toa mahari ya 100 but back on her mind mapenzi yako kwa mwingine

So whatch out bro
Na kwanini utoe mahari kwa mwanamke ambaye hakupendi. Ni rahisi sana kufahamu kuwa mwanamke hakupendi, anakutumia tu.
 
Sio kwer mim mbn Sina mwanamke ata mmoja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…