Kila Mwanamke Ana Wanaume Watatu

Kama ni kweli,Mimi nimeangukia Sana kundi la pili...la kwanza labda mara Moja mbili maishani, la tatu Mimi sio boya kiivo.
Mimi Kuna Wanawake wakinitafuta tu,najua huko kimeshanuka na mwenzie.

Sema ndio hivo , watoto wetu wanalelewa na wenzetu.
 
Hahaha
 
Na kwanini utoe mahari kwa mwanamke ambaye hakupendi. Ni rahisi sana kufahamu kuwa mwanamke hakupendi, anakutumia tu.
Inatokea sana hii, familia zina nguvu ya ku force mwanamke aolewe na mtu asiempenda, matokeo ya ndoa hiz huwa zinaonekana mbeleni.
Ila kamw mwanaume unatakiwa ufaham hili waaay back, itakuokoa sana
 
Inatokea sana hii, familia zina nguvu ya ku force mwanamke aolewe na mtu asiempenda, matokeo ya ndoa hiz huwa zinaonekana mbeleni.
Ila kamw mwanaume unatakiwa ufaham hili waaay back, itakuokoa sana
Kabisa mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…