Elissante
JF-Expert Member
- Aug 10, 2022
- 335
- 344
UhakikaYaani vijana kama mnaishi duniani kwa kutafuta kuwaridhisha na kuwafurahisha wanawake hakika mpo kwenye njia ya maangamizo......kwani historia inatanabaisha kuwa hakuna mwanaume aliyejaribu kumridhisha na kumfurahisha mwanamke na kubakia salama......tukianza na Samson na Farao ni ushahidi tosha..........
Usivuke mipaka ya utu wako na thamani kujaribu kumfurahisha mwanamke......
Word is enough for the wise...