Kila mwanamke anataka kuolewa na Mwanaume mrefu tu

Kila mwanamke anataka kuolewa na Mwanaume mrefu tu

Haya yote Extrovert aliyasema huko juu akimquote mtu Fulani.Wstu wafupi wanakuwa na love ya ukweli kutoka. Moyoni
Ila punguza ukali wa maneno,usituite andunje bana😄😄
Mapenzi tu aah wamejaliwa wale watu jamani😍 yaani ukiwa naye hata huna stress sjui atakucheat hamna.
Na huwezi muomba kitu akakunyima labda asiwe nacho kwa wakati huo, na atapambana hadi akupatie.

Aah aki mna nafasi yenu mbinguni yenye AC na free WIFI😁😁

Ila hawa tall dark handsome aloooo ni kama Azam burudani kwa wote full stress😂😂
 
Kabla uzi haujaenda mbali, je mwanaume mfupi mwisho futi ngapi?
 
Yaani vijana kama mnaishi duniani kwa kutafuta kuwaridhisha na kuwafurahisha wanawake hakika mpo kwenye njia ya maangamizo......kwani historia inatanabaisha kuwa hakuna mwanaume aliyejaribu kumridhisha na kumfurahisha mwanamke na kubakia salama......tukianza na Samson na Farao ni ushahidi tosha..........

Usivuke mipaka ya utu wako na thamani kujaribu kumfurahisha mwanamke......

Word is enough for the wise...
Huwa unatoaga nondo nzito sana mkuu,
heshima kwako


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kitu kinachofurahisha ni kuwa hata sisi wanaUME warefu na sisi pia tunapenda wanawake wafupi. Sasa tukishazaa nao kizazi kinachokuja n cha wanaume wafupi pia. In 50 yrs hao warefu kupatikana itakua kwa mshale zaidi.
Yaan sijui nan katuloga, madem warefu huwaga wapole na wastaarabu sana, lakini hawa SEEDCO sasa, yaan pasua kichwa hatari!🤦🏽
Kizazi cha Seedco😂😂🙌
 
Back
Top Bottom