Kila mwanamke anataka kuolewa na Mwanaume mrefu tu

Leo hii kila mwanamke anasema hataki kuolewa na mwanaume mfupi, kila mwanamke anataka mwanaume mrefu na warefu ni wachache sana, sasa hao wanawake wataolewa na nani ikiwa wanaume warefu wanahesabika?
☹☹dah iyo avat yako sijaielewa
 
Leo hii kila mwanamke anasema hataki kuolewa na mwanaume mfupi, kila mwanamke anataka mwanaume mrefu na warefu ni wachache sana, sasa hao wanawake wataolewa na nani ikiwa wanaume warefu wanahesabika?
Mkuu wasikupasue kichwa hawa wadada ww piga kazi tafuta pesa... .......
 
Back
Top Bottom