Bangida
JF-Expert Member
- Mar 20, 2022
- 2,406
- 11,258
Wafupi shida yao ni gubu mara kwa mara. Huwa kuna kutojiamini flani hivi kwa wengi waoKwangu mie madem warefu huwa nawaona wanazinguaga kwa kujiskia skia huku wana hizo za kuchagua chagua sana ila wafupi hawanaga noma sana ukimuonesha love.
Chances za kutafuna demu mfupi ni 99 of 1OO.
Ila demu mrefu ni 5O-1OO.