Kila mwanamke anataka kuolewa na Mwanaume mrefu tu

Kila mwanamke anataka kuolewa na Mwanaume mrefu tu

Yaani vijana kama mnaishi duniani kwa kutafuta kuwaridhisha na kuwafurahisha wanawake hakika mpo kwenye njia ya maangamizo......kwani historia inatanabaisha kuwa hakuna mwanaume aliyejaribu kumridhisha na kumfurahisha mwanamke na kubakia salama......tukianza na Samson na Farao ni ushahidi tosha..........

Usivuke mipaka ya utu wako na thamani kujaribu kumfurahisha mwanamke......

Word is enough for the wise...
Vijana viburi na Wana kiu za kuonekana wajuvi was mapenzi na kujali ...ila Mwisho wanakufa na watu wanafaidi mapigano yao kizeembe
 
Leo hii kila mwanamke anasema hataki kuolewa na mwanaume mfupi, kila mwanamke anataka mwanaume mrefu na warefu ni wachache sana, sasa hao wanawake wataolewa na nani ikiwa wanaume warefu wanahesabika?
Sie wafupi tunapaga tabu sana lakini bwana uzuri hao warwfu sio waoaji wao ni kula mbususu za wanawake na kutuachie sie andunje andunje
 
Kitu kinachofurahisha ni kuwa hata sisi wanaUME warefu na sisi pia tunapenda wanawake wafupi. Sasa tukishazaa nao kizazi kinachokuja n cha wanaume wafupi pia. In 50 yrs hao warefu kupatikana itakua kwa mshale zaidi.
Yaan sijui nan katuloga, madem warefu huwaga wapole na wastaarabu sana, lakini hawa SEEDCO sasa, yaan pasua kichwa hatari!🤦🏽
 
Kwangu mie madem warefu huwa nawaona wanazinguaga kwa kujiskia skia huku wana hizo za kuchagua chagua sana ila wafupi hawanaga noma sana ukimuonesha love.

Chances za kutafuna demu mfupi ni 99 of 1OO.
Ila demu mrefu ni 5O-1OO.
 
My goshh! U said SEEDCO?😳 U can't call us like that wakati tunakufanya uenjoy k mbano.Tuheshimu kidogoo🤦
Hapo kwenye nyenye nakubali kabisa. Tena nanyoosha mikono juu. Hapo nyie niafundi kwelikweli. Yaan kwenye chezo, ah nakubali mwanzo mwisho. Shida inakuja hiku kwimgineko kwenye maisha ya kila siku. Hua mnakua viraruraru hatari
 
Sie wafupi tunapaga tabu sana lakini bwana uzuri hao warwfu sio waoaji wao ni kula mbususu za wanawake na kutuachie sie andunje andunje
Jitahidi urefuke! Ukisimama pembezoni mwa Jaba watu wanakutafuta .Ukikaa baa Counter mbia mbili tu Ukishuka miguu imekufa ganzi kisa imenig'inia muda mrefu unamuona Nyadundo anachechemea demu wake wanaondoka kisa ganzi miguuni.
 
Back
Top Bottom