Kumbe hamna ujanja inabidi muwe na sisi tuutatizo ni kwamba japo tunataka wanaume warefu saivi hawapatikani 😂 waliopo wengi sasahivi ni wafupi tu ndo wanaopatikana kwahiyo tunaishi na hao hao wafupi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe hamna ujanja inabidi muwe na sisi tuutatizo ni kwamba japo tunataka wanaume warefu saivi hawapatikani 😂 waliopo wengi sasahivi ni wafupi tu ndo wanaopatikana kwahiyo tunaishi na hao hao wafupi
Ila mwanamke akiwa mfupi,mnene na matege akivaa truck suit nyekundu,kwa mbaali Unaweza kudhani Ni 'plaiz' inatembea.Warefu suti zinawakaa Ila wafupi nao wanajua kusimamia kuchaa [emoji28]
Usiwaamini sana wanawake, wanasema pia wanapenda wanaume weusi, wakitaka kuzaa wanatafuta wanaume weupe. Utasikia mtoto apate rangi.Leo hii kila mwanamke anasema hataki kuolewa na mwanaume mfupi, kila mwanamke anataka mwanaume mrefu na warefu ni wachache sana, sasa hao wanawake wataolewa na nani ikiwa wanaume warefu wanahesabika?
Si kweliNadhani wenye hela sana ndio wanapendwa zaidi regardless wana maumbo ya aina gani!
Ii jamaa itakuwa imekasirishwa na ule uzi wa waluguru.Leo hii kila mwanamke anasema hataki kuolewa na mwanaume mfupi, kila mwanamke anataka mwanaume mrefu na warefu ni wachache sana, sasa hao wanawake wataolewa na nani ikiwa wanaume warefu wanahesabika?
Wanaishiaga hukuLeo hii kila mwanamke anasema hataki kuolewa na mwanaume mfupi, kila mwanamke anataka mwanaume mrefu na warefu ni wachache sana, sasa hao wanawake wataolewa na nani ikiwa wanaume warefu wanahesabika?
😂😂😂😂😂😂Anazungumzia urefu gani ?
Me mrefu kote asee😁
Na nawapata kweli kweli
Nitaendelea kuishi kama niishivyo sasaUsipompata huyo mrefu utafanyaje
❤️
Tafuta hela jombaa, hata uwe kimo cha stuli ukiwa na pesa utaonekana super handsome tall [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Leo hii kila mwanamke anasema hataki kuolewa na mwanaume mfupi, kila mwanamke anataka mwanaume mrefu na warefu ni wachache sana, sasa hao wanawake wataolewa na nani ikiwa wanaume warefu wanahesabika?