Kila mwanamke anataka kuolewa na Mwanaume mrefu tu

Kila mwanamke anataka kuolewa na Mwanaume mrefu tu

Kha! Sikutegea hili jamani...yaani ulikubali kuliwa na anddunje kisa ana mihela😲😲😲😲
😂😂 Wapi nmesema hayo? Nilimpenda tu pamoja na ufupi wake. Afu wakat nakutana nae hata sikujua kama ana mihela.
 
Sema nini andunje wanakuaga na real love kuliko wale tall dark n handsome.

Ila mtafute hela bana atleast zinasaidia tuwaone warefu kiasi🤣🤣
Haya yote Extrovert aliyasema huko juu akimquote mtu Fulani.Wstu wafupi wanakuwa na love ya ukweli kutoka. Moyoni
Ila punguza ukali wa maneno,usituite andunje bana😄😄
 
Back
Top Bottom