UhakikaYaani vijana kama mnaishi duniani kwa kutafuta kuwaridhisha na kuwafurahisha wanawake hakika mpo kwenye njia ya maangamizo......kwani historia inatanabaisha kuwa hakuna mwanaume aliyejaribu kumridhisha na kumfurahisha mwanamke na kubakia salama......tukianza na Samson na Farao ni ushahidi tosha..........
Usivuke mipaka ya utu wako na thamani kujaribu kumfurahisha mwanamke......
Word is enough for the wise...
Huo uongo ...huo uongo.........hiyoo ni uongo bhanaSisi wafupi hua tuna hela na mapenz ya kweli nendeni kwa hao matall mpigwe matukio ya kufa mtu
Muulize (bill gates,dangote,bezos) acha ushamba bro 🤣🤣🤣Nadhani wenye hela sana ndio wanapendwa zaidi regardless wana maumbo ya aina gani!
Wanaume wafupi, huwa Wana real love Sana...Popote walipo, heshima kwao.[emoji4]
😂uongo wa wazi mkuuSisi kina andunje, tunapokea habari hii kkwa masikitiko makubwa.
Hatukupenda tuwe hivi 😔
Na kwenye tendo huwa tunasimamia ukucha, tunarefuka kidoogo.
Aahh.. Mkuu, mie fupi nyundo, ila kwenye show nakuwa mrefu.. Huwa nasimama hadi kwenye kisturi... 😂😂uongo wa wazi mkuu