Kila mwanamke anatamani mwanaume anaempa solutions

Ushimen

JF-Expert Member
Joined
Oct 24, 2012
Posts
40,828
Reaction score
99,523
Wavulana wengi wanafikiri eti.....

Ukitaka kumtawala mwanamke "mpe hela"...🤣

Hapo ndipo anguko la vijana linapo anzia "maana hata wanawake pia wanajua kuitafuta hela...😜

Mwanaume simama kwenye nafasi yako na hakuna nyumba itayumba bladi hell...☹️
 
pia sio kila kitu atahitaji solutions. mengine mengi atahitaji kusikilizwa tu na kufarijiwa basi. ukimpatia tu solution utakuwa unatafuta manuno na ugomvi mwingine
 

.....Hapo ndipo anguko la vijana linapo anzia "maana hata wanawake pia wanajua kuitafuta hela.....

The best comment for this Beautiful Tuesday Ushimen
 
Women are created to receive, wewe endelea kulala usingizi wa pono, you build her a house she will give you a baby, wanawake wameumbwa kupokea, ukimjengea nyumba anakupa watoto, nyie mnasema anakuzalia watoto tena wengi tu
 
Sasa nitafanyaje hapa maana mimi napenda kutawala mke wangu na kupiga wanawake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…