Kila mwanamke anatamani mwanaume anaempa solutions

Kila mwanamke anatamani mwanaume anaempa solutions

Mzee, siku hizi umekua mshauri was masuala ya ndoa,

Kwani imekuajee? Afu ghaflaa hivii, mmmmh
 
Mzee, siku hizi umekua mshauri was masuala ya ndoa,

Kwani imekuajee? Afu ghaflaa hivii, mmmmh
Nimepata upako tu boss, tatizo naona vijana wengi saizi hawataki na wanakwepa uwajibikaji kwa kisingizio cha kuwaponda hawa viumbe.
Minaamini wanawake ni watu wema sana, tatizo wavulana wengi wamekua tegemezi na wavivu wa kitambua nafasi zao.
 
Back
Top Bottom