Ushimen
JF-Expert Member
- Oct 24, 2012
- 40,828
- 99,523
- Thread starter
- #21
Jifunze kuwajibika kijana, tatizo wavulana mmekua wavivu na mmezowea "malezi".Women are created to receive, wewe endelea kulala usingizi wa pono, you build her a house she will give you a baby, wanawake wameumbwa kupokea, ukimjengea nyumba anakupa watoto, nyie mnasema anakuzalia watoto tena wengi tu
Kwa taarifa yako hakuna mwanaume anae miliki nyumba, bali ni mke ndie mwenye nyumba na mume ni mwenye kaya.
Shida yenu mnalazimisha mapenzi, na mnaogopa kuvunja ndoa ama mahusiano kwasababu "eti watu watasema" bladi hell....🤨