cocastic JF-Expert Member Joined Nov 30, 2019 Posts 96,456 Reaction score 156,324 Sep 14, 2024 #41 Mzee, siku hizi umekua mshauri was masuala ya ndoa, Kwani imekuajee? Afu ghaflaa hivii, mmmmh
Ushimen JF-Expert Member Joined Oct 24, 2012 Posts 40,828 Reaction score 99,523 Sep 14, 2024 Thread starter #42 cocastic said: Mzee, siku hizi umekua mshauri was masuala ya ndoa, Kwani imekuajee? Afu ghaflaa hivii, mmmmh Click to expand... Nimepata upako tu boss, tatizo naona vijana wengi saizi hawataki na wanakwepa uwajibikaji kwa kisingizio cha kuwaponda hawa viumbe. Minaamini wanawake ni watu wema sana, tatizo wavulana wengi wamekua tegemezi na wavivu wa kitambua nafasi zao.
cocastic said: Mzee, siku hizi umekua mshauri was masuala ya ndoa, Kwani imekuajee? Afu ghaflaa hivii, mmmmh Click to expand... Nimepata upako tu boss, tatizo naona vijana wengi saizi hawataki na wanakwepa uwajibikaji kwa kisingizio cha kuwaponda hawa viumbe. Minaamini wanawake ni watu wema sana, tatizo wavulana wengi wamekua tegemezi na wavivu wa kitambua nafasi zao.