pandagichiza
JF-Expert Member
- Jul 9, 2013
- 6,524
- 4,928
Kwa sababu unakuwa na expectations kubwa sana halafu unakuta hana cha ziada/wa kawaidaAisee Kuna ukweli ndani yake,
Asilimia kubwa ya wanawake wazuri
Wanakinaika haraka sana kimahusiano
Kwa sababu unakuwa na expectations kubwa sana halafu unakuta hana cha ziada/wa kawaidaAisee Kuna ukweli ndani yake,
Asilimia kubwa ya wanawake wazuri
Wanakinaika haraka sana kimahusiano
Wewe ni mwanamke mrembo kumbe.Ni Mimi huyo niliyechokwa 😭
Sahii kabisa mkuu,Kwa sababu unakuwa na expectations kubwa sana halafu unakuta hana cha ziada/wa kawaida
Nipo hapa Mkuu semelea
Kwenye wanaume wanaohitaji kupelekewa moto mi mnitoe mkuu.Sahii kabisa mkuu,
Na MDA mwingine ni ego Yao tu inawaponza,
Anaamini keshakua mzuri na mapaja yake keshayapaka rosheni ,ndo baasi kamaliza.
Anajiona Hana Sababu Tena ya kuonesha ufundi wowote kitandani.
Hajui TU nasi wanaume Kuna MDA tunahitaji tupelekewe moto mzito na wanawake wetu.
(Shughuli nzito hizi uwa wanaziweza Wanawake wa kawaida sana)
SasaUnabaki kujiuliza "apa nafanya mapenzi na mtu au ng'ombe?"
Ukishakojoa TU, unajifanya unadharula zako na baada ya apo na simu zake ndo upokei Tena
HIZI MOMENTS UWA ZINAWATESA SANA KISAIKOLOJIA WANAWAKE WAREMBO SANA
Ha ha ha....nilizungumzia moto WA viuno feni, cowgirl na zile mikao za popo kanyea mbingu Kwa ke😂Kwenye wanaume wanaohitaji kupelekewa moto mi mnitoe mkuu.
Mkuu njoo kwangu uenjoy maisha, achana na huyo TAPELI.Ni Mimi huyo niliyechokwa 😭
Aanh type error hizo badala kuchoka nikaweka kuchokwaWewe ni mwanamke mrembo kumbe.
Ishu ni kwamba hawaaminiki na mwanaume hajiamini anahisi muda wowote ataachwa, so ni kheri ajilie vyake asogee pembeni aachie wengine.Mtoa mada umegusa lenyewe kabisa,
Sijui uwa ni Pepo au vipi,
Ila wengi uwa na bahati mbaya ya kuchezewa kimahusiano
Eti ya kweli haya.Nipo hapa Mkuu semelea
Kwani yeye alimanishaje?Ha ha ha....nilizungumzia moto WA viuno feni, cowgirl na zile mikao za popo kanyea mbingu Kwa ke😂
🙄🙄mimi najuaje?Eti ya kweli haya.
Labda umesikiasikia.🙄🙄mimi najuaje?
Kwani yeye alimanishaje?