Chica Gee
JF-Expert Member
- Jul 13, 2021
- 3,964
- 11,078
Sijui kituLabda umesikiasikia.
Sijui kituLabda umesikiasikia.
Urongo. Kwani uliwahoji wenzako wote na kujua hilo mwanangu?Take Note.
Attention na admiration wanayoipata kila sehemu. Wanaume wengi wanaona bora wajiweke kando mapema. Pia wanawake wazuri wengi ni mpaka wazeeke ndio huwa wanatulia kwenye mahusiano, hapo kwenye late 10's mpaka 20's huwa hawakamatikiMtoa mada umegusa lenyewe kabisa,
Sijui uwa ni Pepo au vipi,
Ila wengi uwa na bahati mbaya ya kuchezewa kimahusiano
Huyu jamaa ana matusi sana...
Attention na admiration wanayoipata kila sehemu. Wanaume wengi wanaona bora wajiweke kando mapema. Pia wanawake wazuri wengi ni mpaka wazeeke ndio huwa wanatulia kwenye mahusiano, hapo kwenye late 10's mpaka 20's huwa hawakamatiki
AmekuambiaHuyu jamaa ana matusi sana...
Tamaa hukoma. Upendo hudumuTake Note.
Hahahaa aumenichekeshaaTake Note.
Kama akiwa hana akiliUrembo saa nyingine hugeuka laana kwa mwanamke.
Mkuu hujamwona anavyochezesha mikono?Amekuambia