Kila mwanamke ninayemtongoza ananikataa

Una nuksi kijana
 
Mkuu unabalaa,ila nishajaribu fanya haya geto bila papara yoyote ila sikuambulia kitu
 
Eeh nisubiri nini... Naona neno digrii pale sasa kisa ana digrii ndio watu wamkubalie???? Mi nataka ambae hajamaliza la saba kabisaaaaaaa
Ukiwa na degree ndo unakubalika kirahisi kwani
 
Napangilia vizuri tu na vinaeleweka,mwingine anaweza sema ntakujibu badae nikimcheki ndo pale atakaposema haiwezekani
Itakua huwa unawahi kukata tamaa sana ila fanya hv akigoma komaa nae, msome anapenda nn huyo dem mfanyie kama anapenda kujengewa nyumba basi mjengee uone kama atakataa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…