Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
UmemalizaTembea na dada Yako,kwani kaolewa?
🤣🤣🤣🤣Yani tofauti yako na waganga wa kienyeji ni vitendea kazi tu
Mkuu mdogo wako Bado yupo?Mkuu naomba uje utembee na mdogoangu nae apate ndoa maana vijana wanaishia kumzalisha tuu halafu wanaingia mitini kwakigezo cha kutaka Mbegu nyeupe yaani kwakua mdogoangu Mweupe nawao wanataka wapate watoto weupe hivyo wanaishia kumzalisha na kusepa
Team kataa ndoa mmeshasikia na kujua huyu ni wa kumkimbia asiwakaribie.Kuna mambo ukisimulia watu wanaweza wasiamini ila yapo. Nimetafakari sana kuhusu kusaidia kuolewa kwa wanawake. Nimekuwa nikikutana na wanawake wengi tunajadili maisha hasa sehemu za ulabu.
Matokeo yake zaidi ya wanawake 85 niliokutana nao wakiwa na changamoto ya kutoolewa nikatembea nao wamekuwa wakiolewa. Sijui kwanini utokea hivyo na nilikuwa sifahamu hilo hadi juzi aliponipigia simu mwanamke mmoja na kuniambia maneno yafuatayo " wewe kaka ubarikiwe sana, umetusaidia sana kuolewa mimi na marafiki zangu niliowalengesha kwako; una nyota ya ndoa hivyo jitunze usipate maradhi." Kauli hii ilinifanya nifanye self evaluation na kubaini hakuna mwanamke niliyetembea naye ambaye hana ndoa. Hata mabinti waliokuwa na miaka 40+ plus walipotoka kwangu walikwenda kukutana na ndoa
Wanaume hizi taarifa zitusaidie kufanya self evaluation na ukijiona una nguvu chanya kama mimi basi jitunze na wasaidie wahitaji bila kutaka ujira wa mweha.
Pamoja na yote haya lakini SIJAWAHI NA SITOKAA NITEMBEE NA MKE WA MTU. Wapenzi wangu wote walioolewa niliwakimbia kuepusha kumkosea mtoa ndoa. Niwaombe vijana pia tusiendeleze mahusiano na wake za watu. Tuwasaidie waolewe tusonge mbele ........
True story, let as do self assessment and evaluation to identify these characters within......
Kwa wale ambao kila wakitembea na mwanamke hapati tena ndoa au akitembea na mke wa mtu ndoa inavunjika pls wahurumieni dada zetu msiwatongoze mtawaaribia maisha.
Nsaidie kumwambia kwa kingereza "haiombwi hvo"Team kataa ndoa mmeshasikia na kujua huyu ni wa kumkimbia asiwakaribie.
Akiwakaribia tu ndoa hihaaa 🤣🤣🤣
Hahaa.Nsaidie kumwambia kwa kingereza "haiombwi hvo"
Kutembea washatembea sana labda una maanisha amgonge mbunye dada yake si ndio mkuu??Tembea na dada Yako,kwani kaolewa?
Acha kujipakulia minyama wakati walikuwa atembei ma wewe pekee.Kuna mambo ukisimulia watu wanaweza wasiamini ila yapo. Nimetafakari sana kuhusu kusaidia kuolewa kwa wanawake. Nimekuwa nikikutana na wanawake wengi tunajadili maisha hasa sehemu za ulabu.
Matokeo yake zaidi ya wanawake 85 niliokutana nao wakiwa na changamoto ya kutoolewa nikatembea nao wamekuwa wakiolewa. Sijui kwanini utokea hivyo na nilikuwa sifahamu hilo hadi juzi aliponipigia simu mwanamke mmoja na kuniambia maneno yafuatayo " wewe kaka ubarikiwe sana, umetusaidia sana kuolewa mimi na marafiki zangu niliowalengesha kwako; una nyota ya ndoa hivyo jitunze usipate maradhi." Kauli hii ilinifanya nifanye self evaluation na kubaini hakuna mwanamke niliyetembea naye ambaye hana ndoa. Hata mabinti waliokuwa na miaka 40+ plus walipotoka kwangu walikwenda kukutana na ndoa
Wanaume hizi taarifa zitusaidie kufanya self evaluation na ukijiona una nguvu chanya kama mimi basi jitunze na wasaidie wahitaji bila kutaka ujira wa mweha.
Pamoja na yote haya lakini SIJAWAHI NA SITOKAA NITEMBEE NA MKE WA MTU. Wapenzi wangu wote walioolewa niliwakimbia kuepusha kumkosea mtoa ndoa. Niwaombe vijana pia tusiendeleze mahusiano na wake za watu. Tuwasaidie waolewe tusonge mbele ........
True story, let as do self assessment and evaluation to identify these characters within......
Kwa wale ambao kila wakitembea na mwanamke hapati tena ndoa au akitembea na mke wa mtu ndoa inavunjika pls wahurumieni dada zetu msiwatongoze mtawaaribia maisha.
Kwani wewe hutaki kuolewa dada?Mgonge dada Yako,kwani kaolewa?
Mgonge tuu Ili umpe Nyota aoleweKwani wewe hutaki kuolewa dada?
Au ndio unaomba ugongwe kijanja
Sitaki mke wa pili, tafuta bwana mwingine akuoeMgonge tuu Ili umpe Nyota aolewe