Kila mwanamke ninayetembea naye uolewa; nina nyota ya ndoa nimesaidia wengi waliokata tamaa

acha ukware

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe kumbe mpaka utembee nao, mimi nikimsalimia tu dada yeyote na akaitikia basi ndani ya siku tatu atakuta posa imepelekwa kwao, kama atanipa namba yake tuendeleze mawasiliano na kuwa wapenzi ndani ya wiki moja atakuta mahari imetumwa kwao, akianza kunipa utamu tu washenga waliopeleka posa wanaenda kuvunja uchumba, akirudi kuniuliza kwa nini wale watu wamevunja uchumba nitamwambia kwa sababu wewe ni wangu tu na kama utanikataa nisikuoe mimi hutaolewa tena maisha yako yote[emoji2][emoji2][emoji2]
 
Huu uzi utakimbia sana
 
Sema jamaa anaonekana kuongea uongo ila hii imetokea sana kwangu wasichana wengi (sio wote )wameolewa baada ya kuwa nao kimahusiano
 
Unatembea na wanawake 85 unataka kufa?
 
Mbali na kwamba ni laana unabeba kwako na vizazi vyako vijavyo, hii inaonyesha vile unatamani utembe. na dada zako waolewe waache kuzalia hapo kwenu sema unashindwa kwakuwa dada zako ni jamvi la wageni hapo kijijini hakuna mwanaume ambaye hajapita nao.
 
Wazinzi mnajitangaza sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…