Kila mwanamke wa kisasa ana ndoto ya kupitia stage hii

Hapo kwenye dini futa weka Uislamu.
Hata ukristo...kwenye bible eti ukimbaka mwanamke unatakiwa utoe mahari unamuoa... mwanamke akibakwa afu hajapiga kelele kuskika na watu, mtaa mzima unawapiga mawe kama wezi...
🤣Kuna mistari mungu anaamuru waisraeli wachukue kila kitu waue watu wote isipokuwa wanawake bikra wawachukue wafanye wanavyotaka...
Bro usinifanye niendelee
 
Kwenye uislamu wanawake wanapewa zawadi gani wakifika mbinguni ?
 
Mfano uliotoa haufai kwa mwanamke, unafanya vice versa.

Mfano wa dereva mwenye experience ni mfano ambao unaofaa kwa mwanamme na mfano wa gari au simu iliyotumika unaofaa kwa mwanamke.

Mwanamme akakuwa better kwa experiences nyingi alizozipitia. Mwanamke anaharibika kutokana na experiences alizozipitia.

Wewe ukiletewa kajara na binti mbichi mwenye bikra, utamchagua nani?


Nenda kaoe mwanamke anayejiuza bar ambaye ana miaka 30+ na kambadikishe kuwa mke Bora kama utaweza.
 
Sina hata kimoja hapo kweli niko local sana natakiwa kuji establishi niwe wa kisasa.
 
🤣🤣🤣Kwa nini mwanamke awe simu iliyotumika...je mwanaume aliyebikra na ambae sio hawana tofauti kimaadili....acheni kutetea ujinga wenu...lyf haipo hivyo... Ka we Malaya usilazimishe wanawake wawe bikra
 
Uislamu ni dini inayomshusha mwanamke usiilinganishe na Ukristu. Kwa uliyosema hapo kuwa dini alitengenezewa mwanaume ni Uislamu na si ukristo.
Zote mbili zimetengenezewa mwanaume...amri kumi za mungu zinataja usionee wivu jirani yako na mali zake humo Kuna ng'ombe, mke, mtumwa, wote hao asa uniambie why hawajataja mme... Sio kosa lai jamii zote tumepitia hivyo ila ndo kutumia vitabu hivi kama maadili wakati ndo vinaruhusu unyanyasaji wa kijinsia, ubakaji, utumwa wa kingono, etc ... Ni upumbavu
 
Kwa hiyo Ulaya chimbuko la ukristo wanawake ndio wameanza kuruhusiwa kuendesha gari. Ulaya na Marekani wanawake hawaruhusiwi kusoma ? Ukristu mwanaume anaruhusiwa kuoa wanawake wanne ? Ukristu mwanaume ukifika mbinguni unapewa wanawake na nguvu ya kuwambato ?
 
Uliza ulaya walikuwa wanawafanya nini wanawake waliowahisi kuwa wachawi...uliza wanawake walipata rights za kuvote au kuown property lini...uliza Sheria za ubakaji ziliwekwa lini ...ndo maana nasema kila jamii imepitia hizi stage
 
Uliza ulaya walikuwa wanawafanya nini wanawake waliowahisi kuwa wachawi...uliza wanawake walipata rights za kuvote au kuown property lini...uliza Sheria za ubakaji ziliwekwa lini ...ndo maana nasema kila jamii imepitia hizi stage
Mimi naongelea sasa hivi siongelei zamani maana hata mada inaongelea wanawake wa kisasa. Ndio maana mpaka leo ni ngumu watu kuelewa dini kiundani. Hii yote kwa sababu watu hawajazunguka dunia, kuna dini bado zina support utumwa mpaka leo hii. Kuna dini mpaka leo shule sio muhimu, muhimu kwao ni elimu ya dini. Kuna dada mmoja huko juu aliandika ukitaka tuishi kama nchi fulani watu wataanza kubaka vitoto vya miaka sita. Ni muda wa kuangalia Ustaarabu upo wapi na ulimbukeni upo wapi ?
Umesema kila jamii imepitoa hizi stage hizo jamii ambazo mpaka leo hawajabadilika nini kinawazuia ?
 
Huyo nayemuongelea Sio wewe
 
🤣Nimekuwa dada tena kumbe
 
Si ndio nashangaa. Umalaya sijui wanafanya na hao hao mwanaume, kwa hiyo ke wasilaumiwe. Yaani huyu ana chuki binafsi na wanawake.
Unatengeneza hoja yako ambayo mjadala wake sio huu. So ningekuwa mfano nina chuki na wanawake unadhani ningeshindwa kuja kuandika uzi hapa wa namna ninavyowachukia wanawake? [emoji848] Kwasababu namuogopa nani?

Wewe ndio wale raia huku mtaani ambao wakimuona mtu mwenye gari anatembea kwa mguu mnasema amefilisika kauza gari kumbe mtu amemiss kupanda daladala.
 
Ni kama ukimpa vitabu vya CPA darasa la saba, hakuna atakachoelewa. Ndio wewe umetoka kapa si kwasababu hakuna points ni kwasababu kichwa chako hakina uwezo wa kung'amua hata moja lilioandikwa hapa sababu unaishi maisha yanayoreflect huu uchafu nilioandika.
 
Kwanini usubiri ukatili ufanyike ndipo ndoa ivunjwe badala ya kubadili sheria ndoa ziwe za mkataba ili kama mkishindanwa mkataba unavunjwa na wanandoa wenyewe badala ya kuisumbua mahakama?
Duh, so kwakusema kwann nasubiria ukatili ufanyike ndipo ndoa ivunjwe, unakuwa umemaanishaje, yaani ndoa zivunjwe kwanza halafu tusubirie ukatili wa kwenye ndoa utokee sasa utatokea wapi na ndoa zimeshavunjwa? [emoji848]

Yaani ni sawa na kusema watu wale kwanza ndipo chakula kipikwe. Sasa watakula nini na chakula hakijapikwa? [emoji848]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…