SimbaMpole123
JF-Expert Member
- Apr 23, 2023
- 5,501
- 4,956
Hata ukristo...kwenye bible eti ukimbaka mwanamke unatakiwa utoe mahari unamuoa... mwanamke akibakwa afu hajapiga kelele kuskika na watu, mtaa mzima unawapiga mawe kama wezi...Hapo kwenye dini futa weka Uislamu.
🤣Kuna mistari mungu anaamuru waisraeli wachukue kila kitu waue watu wote isipokuwa wanawake bikra wawachukue wafanye wanavyotaka...
Bro usinifanye niendelee