Kila mwanamke wa kisasa ana ndoto ya kupitia stage hii

Dada mkubwa umemaliza, nilitaka nimjibu hivi huyu Zemanda naona umeniwakilisha kwa comment yako.!!
Tatizo hajui kutofautisha mwanamke wa kisasa na malaya walioamua kuboresha umalaya wao.!!
 
Sasa kwanini ukachukua apprenticeship?

Sikatai kwamba hao online gurus wanaweza kusaidia watu, lakini mara nyingi wapo kimaslahi zaidi, wanapiga pesa. Na mimi sishauri uamini mtu mwenye kitu cha kukuuzia.

Haya mambo yako ya simps, sijui sexual market value, hoe phase.... hayapo kama unavyofikiria. Kumbuka mitandao inakuza sana mambo na sio kila lisemwalo ni sheria
 
The bad thing ni kua inawezekana toka ulipo na miaka 19 unagongwa na wanaume hovyo hovyo,unadhani ni easy huyo mwanaume unayesema wa level yako kuoa mwanamke used?,
Ila kama toka una miaka 19 haugongwi,yes upo sahihi,ndoa haina maana kwako
 
The bad thing ni kua inawezekana toka ulipo na miaka 19 unagongwa na wanaume hovyo hovyo,unadhani ni easy huyo mwanaume unayesema wa level yako kuoa mwanamke used?,
Ila kama toka una miaka 19 haugongwi,yes upo sahihi,ndoa haina maana kwako
Sasa nagongwa mimi huku Lindi! wewe huko Dar unaumia
Acha hizoo!!😉
 

6. Kumkana MUNGU kwa matendo na kumkiri shetani kama kiongozi wa nafsi kwa usiri na kwa hiyari.
Unaweza kuthibitisha hii kauli yako?
 
Wanawake wa tiktok wanamchanganya anatujumlisha wote.!!
 
Kuna Acc moja insta ya mbele ina potosha jamii kwa kupinga nadharia yako hiyo...inadai kuwa anal sex in a proper way they cant destroy you in any condition
 
Yeye kuwa hivyo ina uhusiano gani na anayo yatenda ambayo yanaidhoofu jamii.
 
Maadili yaangaliwe both sides.. sio mtu anasema hoo wanawake Malaya afu ye anaenda bar kila weekend kulala na bar maids
Kama umeliona hilo mbona haufungui uzi kukemea wanaume wanakwenda Bar kulala na ma Barmaid?

Yaani unasubiria uzi wa kuponda matrafiki wala rushwa ili uanze kuwasema madereva wazembe barabarani?

Kwann usianzishe mjadala wa wanaume wanaokwenda Bar kula wahudumu? [emoji848]

Ukiona umeshindwa kufanya jambo jua hauna hoja za kulianza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…