Cute Msangi
Member
- Apr 11, 2023
- 79
- 226
Kwanza maoni yako ni nini juu ya simulizi ya Hakimi?Jana status zote, comments kumsifia hakimi kwa maamuzi yake Mali zote kuandika jina la mama yake.
Hivi nyie mwanaume wa Tanzania mna weza kufanya hivo Kuna kitu hamkijui ngoja niwape Siri ukishaingia kwenye Ndoa tunawaroga mtulie kila nachosema unisikilize huo muda wa kuandika jina la kizee kwenye Mali zako unautoa wapi.
Nyie ni kuwaroga tu ndo dawa yenu
Mwanaume kama huyo sikubali amuoe hata dadangu au binti yangu
jay-millionsMwanaume kama huyo sikubali amuoe hata dadangu au binti yangu
π³π³π³π³π³π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£Mnapigwa miti sana na waganga, tunalea sana watoto wa waganga ndo mana nyumba za moto tunalea misukule
Mwanaume gani anaoa nyakati hizi mkuu ni full kuzalisha tuJana status zote, comments kumsifia hakimi kwa maamuzi yake Mali zote kuandika jina la mama yake.
Hivi nyie mwanaume wa Tanzania mna weza kufanya hivo Kuna kitu hamkijui ngoja niwape Siri ukishaingia kwenye Ndoa tunawaroga mtulie kila nachosema unisikilize huo muda wa kuandika jina la kizee kwenye Mali zako unautoa wapi.
Nyie ni kuwaroga tu ndo dawa yenu
Swali zuri kwelikweliUna hiyo ndoa?
Kwani hamna hela????Mwanaume kama huyo sikubali amuoe hata dadangu au binti yangu
Usilolijua ni kama usiku wa giza kaa kwa kutulia dawa iwa ingie vizuriWanamshabikia lakini ni wachache wanaoweza hilo.
Waulize tu wale wanaofanya kazi Serikalini ni wangapi wameandika kuwa wakifa basi mrithi awe Mama yake?