Che mittoga
JF-Expert Member
- Mar 28, 2017
- 12,658
- 16,205
Hivi ni kwanini kila wanandoa wakiachana mwanamke anadai mali za mwanamme.
Si wameoana na kila mtu ana mali zake ?
Na kama mwanamke ameolewa si kesha tolewa mahari kwa wazazi wake?
Tena utakuta mwanamke ndio anadai talaka na mali.
Kuna haja ya kuirekebisha mikataba ya ndoa.
Si wameoana na kila mtu ana mali zake ?
Na kama mwanamke ameolewa si kesha tolewa mahari kwa wazazi wake?
Tena utakuta mwanamke ndio anadai talaka na mali.
Kuna haja ya kuirekebisha mikataba ya ndoa.