Kila mwanaume Jana amempost hakimi

Kila mwanaume Jana amempost hakimi

Jana status zote, comments kumsifia hakimi kwa maamuzi yake Mali zote kuandika jina la mama yake.

Hivi nyie mwanaume wa Tanzania mna weza kufanya hivo Kuna kitu hamkijui ngoja niwape Siri ukishaingia kwenye Ndoa tunawaroga mtulie kila nachosema unisikilize huo muda wa kuandika jina la kizee kwenye Mali zako unautoa wapi.

Nyie ni kuwaroga tu ndo dawa yenu
Piga kelelee Kwa hikimi Yake Oyoooooooooooo
 
Mwanaume kama huyo sikubali amuoe hata dadangu au binti yangu
Ni mbinafsi katili....anaweza kukufanyia lolote ndani coz anajua hata ukiondoka huambulii kitu.Afu ndo mseme mabinti wasisomeshwe,wasiwe na Kaz......haya binti kapoteza muda Kwa miaka mi3 na kuzalishwa juu afu kabaki maskini.MI KIUKWELI KATAA NDOA NIMEANZA KUWAELEWA.NDOA NI JEHANAMU
 
Jana status zote, comments kumsifia hakimi kwa maamuzi yake Mali zote kuandika jina la mama yake.

Hivi nyie mwanaume wa Tanzania mna weza kufanya hivo Kuna kitu hamkijui ngoja niwape Siri ukishaingia kwenye Ndoa tunawaroga mtulie kila nachosema unisikilize huo muda wa kuandika jina la kizee kwenye Mali zako unautoa wapi.

Nyie ni kuwaroga tu ndo dawa yenu
Muwe mnaheshima nyinyi wanawake na watoto wa kike. Walio fanya hivyo ni wanao jiita Wanaume, sisi Wanaume hatuna huo muda sababu tunafata misingi iliyo simikwa kale na tuna njia zetu.
 
Jana status zote, comments kumsifia hakimi kwa maamuzi yake Mali zote kuandika jina la mama yake.

Hivi nyie mwanaume wa Tanzania mna weza kufanya hivo Kuna kitu hamkijui ngoja niwape Siri ukishaingia kwenye Ndoa tunawaroga mtulie kila nachosema unisikilize huo muda wa kuandika jina la kizee kwenye Mali zako unautoa wapi.

Nyie ni kuwaroga tu ndo dawa yenu

Hahaha there is no such thing as kurogwa.
Mwanaume si mjinga , the moment we see red flags we act.

Hakin is a hero
 
jay-millions

The best comment of the year🥰🥰🥰🥰🥰

Am super exited to see that there still Gentleman out there.

People are acting like she’s screwing him over when she’s just seeking assets she’s legally entitled to..especially because she’ll probably end up with majority custody of their child

🤗🤗🤗🤗🤗🤗🤗🤗🤗🤗🤗🤗
🔨🔨🔨🔨🔨🔨🔨🔨🔨🔨🔨

Tunawaruhusuni na nyie andiken mali zenu mama zenu, !!

Kama ni watoto kwani baba kasema hawezi kuwatunza, kalabaghao!
 
Jana status zote, comments kumsifia hakimi kwa maamuzi yake Mali zote kuandika jina la mama yake.

Hivi nyie mwanaume wa Tanzania mna weza kufanya hivo Kuna kitu hamkijui ngoja niwape Siri ukishaingia kwenye Ndoa tunawaroga mtulie kila nachosema unisikilize huo muda wa kuandika jina la kizee kwenye Mali zako unautoa wapi.

Nyie ni kuwaroga tu ndo dawa yenu
Wewe nimekupenda. Maana huna povu, ni utani tu. Safi. Asante kwa kufurahisha jukwaa[emoji1787][emoji1787]
 
jay-millions

The best comment of the year[emoji3059][emoji3059][emoji3059][emoji3059][emoji3059]

Am super exited to see that there still Gentleman out there.

People are acting like she’s screwing him over when she’s just seeking assets she’s legally entitled to..especially because she’ll probably end up with majority custody of their child

[emoji847][emoji847][emoji847][emoji847][emoji847][emoji847][emoji847][emoji847][emoji847][emoji847][emoji847][emoji847]
[emoji375][emoji375][emoji375][emoji375][emoji375][emoji375][emoji375][emoji375][emoji375][emoji375][emoji375]
Na vingeleza vyako sasa. Sasa iko hivi, Hakimi hamiliki chochote na Hiba ana ukwasi. Hivyo anatakiwa kulipa gharama zote na mahakama na kugawa mali zake 50/50 na Hakimi.

Hapo vepeee
 
Back
Top Bottom