Kila mwanaume Jana amempost hakimi

Wanawake hii ishu imewauma sana, nasema hv tafuteni pesa zenu wenyewe.
To yeye kula chuma hicho 😂
 
Hata mwanamke ni katili mno, lengo lake lilikua kuchuma Mali ila ndio kaambulia pakavu.
Malengo hayajatimia.
 
Gentleman wa nyoko
 
Hakimi kawavuruga sana wanawake....jamaa kapiga bonge la golden goal😂😂😂😂
 
Nani kapoteza muda, hivi kumbe mnakua kwenye ndoa ili mpate kitu..msipopata mnaona mmepoteza?!!

Hakimi kaonyesha njia.
 
Nimewaza kuhusu familia zetu hizi ,unamilikisha Mali mama akavuta ghafla ........
Unamwambia mama akuandikie urithi kabla hajafa, so ukifa wewe kabla Bi mkubwa anakula hela, akifa yeye kabla nakula urithi ambao sidhani kama unagawanywa kama mkiachana.


So its risk free labda tufe wote at per.
 
Zumbukuku, waambie dada zako wakatafute za kwao!

At the end utawaoa wewe mwenyewe!!

Kikao chetu kila kitu andika mama mzazi, ndo anajua uchungu wa mtoto!!
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
Unaongea na bimkubwa mapema mali unazompa anaandika kwenye will kabisa we ndio mrithi.
 
Wenye mawazo kama yako ndio huwa hamna hiyo bahati ya kuolewa, mnaishia kupuyanga tu mjini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…