Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanawake hii ishu imewauma sana, nasema hv tafuteni pesa zenu wenyewe.Ni mbinafsi katili....anaweza kukufanyia lolote ndani coz anajua hata ukiondoka huambulii kitu.Afu ndo mseme mabinti wasisomeshwe,wasiwe na Kaz......haya binti kapoteza muda Kwa miaka mi3 na kuzalishwa juu afu kabaki maskini.MI KIUKWELI KATAA NDOA NIMEANZA KUWAELEWA.NDOA NI JEHANAMU
Hata mwanamke ni katili mno, lengo lake lilikua kuchuma Mali ila ndio kaambulia pakavu.Ni mbinafsi katili....anaweza kukufanyia lolote ndani coz anajua hata ukiondoka huambulii kitu.Afu ndo mseme mabinti wasisomeshwe,wasiwe na Kaz......haya binti kapoteza muda Kwa miaka mi3 na kuzalishwa juu afu kabaki maskini.MI KIUKWELI KATAA NDOA NIMEANZA KUWAELEWA.NDOA NI JEHANAMU
Bila shaka ww n dada wa mke wa HakimMwanaume kama huyo sikubali amuoe hata dadangu au binti yangu
🙆Hata mwanamke ni katili mno, lengo lake lilikua kuchuma Mali ila ndio kaambulia pakavu.
Malengo hayajatimia.
Gentleman wa nyokojay-millions
The best comment of the year[emoji3059][emoji3059][emoji3059][emoji3059][emoji3059]
Am super exited to see that there still Gentleman out there.
People are acting like she’s screwing him over when she’s just seeking assets she’s legally entitled to..especially because she’ll probably end up with majority custody of their child
[emoji847][emoji847][emoji847][emoji847][emoji847][emoji847][emoji847][emoji847][emoji847][emoji847][emoji847][emoji847]
[emoji375][emoji375][emoji375][emoji375][emoji375][emoji375][emoji375][emoji375][emoji375][emoji375][emoji375]
Hakimi kawavuruga sana wanawake....jamaa kapiga bonge la golden goal😂😂😂😂Jana status zote, comments kumsifia hakimi kwa maamuzi yake Mali zote kuandika jina la mama yake.
Hivi nyie mwanaume wa Tanzania mna weza kufanya hivo Kuna kitu hamkijui ngoja niwape Siri ukishaingia kwenye Ndoa tunawaroga mtulie kila nachosema unisikilize huo muda wa kuandika jina la kizee kwenye Mali zako unautoa wapi.
Nyie ni kuwaroga tu ndo dawa yenu
Nani kapoteza muda, hivi kumbe mnakua kwenye ndoa ili mpate kitu..msipopata mnaona mmepoteza?!!Ni mbinafsi katili....anaweza kukufanyia lolote ndani coz anajua hata ukiondoka huambulii kitu.Afu ndo mseme mabinti wasisomeshwe,wasiwe na Kaz......haya binti kapoteza muda Kwa miaka mi3 na kuzalishwa juu afu kabaki maskini.MI KIUKWELI KATAA NDOA NIMEANZA KUWAELEWA.NDOA NI JEHANAMU
Unamwambia mama akuandikie urithi kabla hajafa, so ukifa wewe kabla Bi mkubwa anakula hela, akifa yeye kabla nakula urithi ambao sidhani kama unagawanywa kama mkiachana.Nimewaza kuhusu familia zetu hizi ,unamilikisha Mali mama akavuta ghafla ........
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Zumbukuku, waambie dada zako wakatafute za kwao!
At the end utawaoa wewe mwenyewe!!
Kikao chetu kila kitu andika mama mzazi, ndo anajua uchungu wa mtoto!!
Kwani mnaolewa ili mtoke kwenye umasikini muwe matajiri To yeye ?haya binti kapoteza muda Kwa miaka mi3 na kuzalishwa juu afu kabaki maskin
Unaongea na bimkubwa mapema mali unazompa anaandika kwenye will kabisa we ndio mrithi.Wana hizo mali sasa,mtu ana nyumba moja ya milioni 30 na ki ist naye anasema aandike majina ya mama ili akiachana na mkewe wasigawane mali alafu ana watoto watatu
Kiufupi hii technique haiapply kwa kila mtu,imagine kwenu mko watano alafu bahati mbaya mama akate moto ndo utajua hujui
Bigup Hakimi we ni gentleman
Ha ha haaaWamama wa kibongo ukimpa mali akushikie utazikuta kwa mwamposa
Saivi walioa watacheza kama Hakimi na tusioa tunakuwa kama Mond ni kupiga, kuzalisha na kusepa. Mpaka mshike adabu 😀Ni ajira kweli mkuu