Kila mwenye ushauri mzuri aje amshauri Lissu. Mimi naanza na ushauri huu

Kama kweli marahemu Ali Kibao alimpa siri Lissu juu ya watu walio hongwa na Abdul...
Akaishia kuuwawa kinyama hivyo basi hiyo Lissu kusema likimtokea chochote mwenyekiti hahusiki ni Lugha ya picha hiyo, in fact ndio atakuwa mtu wa kwanza kuhusika
 
Ushahuri kwa Lisu kwa aina ya uropokaji wake hawezi kukaa na mtu yoyote na hata akishika madaraka hii nchi kila siku itakuwa ni maandamano tu pengine hata ikazuka vita ya wenyewe kwa wenyewe.
hakuna kitu kama hicho, umehara tu hapa
 
Ni wakati wa Lissu.. Nothing will stop him..!
Huu uchaguzi wa chadema , unaturudisha nyuma hadi 1979 ambapo kgb ambayo ilikuwa tiss ya soviet iliamua ku side na upande wa chama kikuu cha upinzani cha labour kilichokuwa kikiongozwa na michael foot kama mwenyekiti . Kgb walimuweka huyu jamaa kwenye 'payroll' yao ili aweze kumchallenge margaret thatcher pm wa u.K aliyekuwa mwana conservative. kwenye uchaguzi mkuu uliotarajiwa kufanyika 1984. Bahati nzuri huyu jamaa alishtukiwa na MI6 na margaret thatcher alipata landslide victory kwenye huo uchaguzi wa 1984, na ikamlazimu michael foot kujiuzulu wadhfa wake kama mwenyekiti wa chama cha labour. Point yangu ni , chadema wanacheza ngoma ya 'SPECIAL BRANCH'.
 
Kama kweli marahemu Ali Kibao alimpa siri Lissu juu ya watu walio hongwa na Abdul...
Akaishia kuuwawa kinyama hivyo basi hiyo Lissu kusema likimtokea chochote mwenyekiti hahusiki ni Lugha ya picha hiyo, in fact ndio atakuwa mtu wa kwanza kuhusika
Kumbe na wewe ushaona mkuu 🤣🤣🤣
 
Hata 2pac alipokosa kufa kwa shambulio la kwanza akabweteka akijua kuwa atakuja kufa kwa njia nyingine lkn sio shambulio.

Leo hii ana miaka 28 kaburini baada ya kushambuliwa kwa mara ya pili na baadae kufia hospital. So awe makini na uhai wake. Asibweteke
unakuta kijana katoka familia masikini ndio anatumwa kufanya assassination na anaenda kutekeleza pasipo kufahamu naye atapotezwa whether atalenga au atakosea kulenga shabaha. Umasikini mbaya sana, unatumwa kufanya mauaji huku dhamira haitaki
 
Mimi namshauri agombee ubunge akikosa aachane na siasa.
Pia ajitoe kugombea uenyekiti
 
Huu uchaguzi wa chadema , unaturudisha nyuma hadi 1979 ambapo kgb ambayo ilikuwa tiss ya soviet iliamua ku side na upande wa chama kikuu cha upinzani cha labour kilichokuwa kikiongozwa na michael foot kama mwenyekiti . Kgb walimuweka huyu jamaa kwenye 'payroll' yao ili aweze kumchallenge margaret thatcher pm wa u.K aliyekuwa mwana conservative. kwenye uchaguzi mkuu uliotarajiwa kufanyika 1984. Bahati nzuri huyu jamaa alishtukiwa na MI6 na margaret thatcher alipata landslide victory kwenye huo uchaguzi wa 1984, na ikamlazimu michael foot kujiuzulu wadhfa wake kama mwenyekiti wa chama cha labour. Point yangu ni , chadema wanacheza ngoma ya 'SPECIAL BRANCH'.
Huu ni mkwara ili watu washindwe kumuunga mkono Mbowe au kuandika ukweli kuhusu ubovu wa mwenyekiti kwa kisingizio cha hiyo special brank kazini.

Acha watu waongee yalio moyoni maana Mbowe walikuwa hawamtaki muda mrefu lkn kulikuwa hakuna namna ya kumuongelea mwenyekiti mpaka pale Lisu alipolianzisha.
 
unakuta kijana katoka familia masikini ndio anatumwa kufanya assassination na anaenda kutekeleza pasipo kufahamu naye atapotezwa whether atalenga au atakosea kulenga shabaha. Umasikini mbaya sana, unatumwa kufanya mauaji huku dhamira haitaki
Ndio maana yake mkuu. Umasikini ni laana, asikudanganye mtu.
 
Kumbe na wewe ushaona mkuu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Angalia tu mazingira yalivyo, naamini Lissu sio mjinga kiasi hiko kuweka hili jambo hadharani,
Kumtaja mjumbe wa kamati kuu aliyempa siri za Abdul kuwa amefariki, akaja akasema maisha yake yako hatarini dhidi ya nani hasa? Tulijua ni mfumo ndio adui yake, akaenda kuchukua fomu za kugombania Uenyekiti makao makuu ya chama chake huku kavaa bullet proof vest, kama aliamini yupo salama kwenye makao makuu ya chama kwanini hakuvua hiyo bullet proof vest akaicha kwenye gari
kisha akaingia ofisini kuchukua fomu? Maana yake hata hapo makao makuu sio salama kwake na msumari wa mwisho amemalizia kwa kusema hana uhusiano mzuri na Mwenyekiti wake, wewe unajifunza nini?
 
Mimi namshauri ahamie sisiemu haraka sana ili abakie salama. Mwakani pia kunauchaguzi wa mwenyekiti awahi ili agombee.
 
Zile Risasi 16 bila Kufa, basi hamna Tena mwanadam wa kumuua LISSU.

Kabla hawajapanga kitu, tayari anakijua.

LISSU ni mwanasiasa anayefaidika na DUNIA, Dunia inampa habari zamoto moto hata kabla hazijaepuliwa.
What doesn't kill you makes you stronger.

-Thadayo Urassa
 
Angalia tu mazingira yalivyo, naamini Lissu sio mjinga kiasi hiko kuweka hili jambo hadharani,
Kumtaja mjumbe wa kamati kuu aliyempa siri za Abdul kuwa amefariki, akaja akasema maisha yake yako hatarini dhidi ya nani hasa? Tulijua ni mfumo ndio adui yake, akaenda kuchukua fomu za kugombania Uenyekiti makao makuu ya chama chake huku kavaa bullet proof vest, kama aliamini yupo salama kwenye makao makuu ya chama kwanini hakuvua hiyo bullet proof vest akaicha kwenye gari
kisha akaingia ofisini kuchukua fomu? Maana yake hata hapo makao makuu sio salama kwake na msumari wa mwisho amemalizia kwa kusema hana uhusiano mzuri na Mwenyekiti wake, wewe unajifunza nini?
Nakubaliana na ulichoandika mkuu. Lkn Lisu ni binadam, hivyo muda wote anatakiwa ashauriwe au akumbushwe juu ya kuwa makini na usalama wake.
 
Back
Top Bottom