Kila mwenye ushauri mzuri aje amshauri Lissu. Mimi naanza na ushauri huu

Bila kupoteza muda na kuchosha wasomaji ukiwemo wewe mwenyewe. Ningependa kukushauri uombe kuongezewa ulinzi ili wale ambao wanapanga kutumia sekeseke hili la uchaguzi kufanya yao wasiweze kukufikia.
Pamoja na kukubaliana na wazo lako; lakini kwa hali ilipo fikia sasa hivi ulinzi pekee juu ya hatma ya Tundu Lissu ni wa Mwenyezi Mungu tu (kwa wanao amini); au ni 'fate' tu kwa wengine wote.

Kwa sasa hivi lolote likimtokea Tundu Lissu, hakuna tena anaye weza kuondokana na kuhusika kwa makundi hayo mawili uliyo yataja. Wote watakuwa ni wahusika; kwa sababu kila mmoja wao ni mnufaika kwa kutowepo kwa Tundu Lissu.

Sijui nani sasa hivi anaye weza kumpa ulinzi wa uhakika Tundu Lissu.

Huko ndani ya chama chake; hali ndiyo hiyo tunayo iona sasa kuwepo na makundi yanayo pingana. Labda, kama kuna kundi ambalo lina muunga mkono, na analiamini barabara; basi wajipange vizuri ili kumpa ulinzi wa uhakika zaidi.

Huku nje ya chama, ulinzi hupatikana kwa kutumia vyombo vya serikali. Sote tunajuwa, huku sasa hivi ni vigumu kujuwa ni nani hawezi kutumiwa na viongozi wenye maslahi ya kumwondoa Lissu huko huko serikalini
Kwa kifupi, ni vigumu kuwaamini hawa.

Kwa hiyo, kama inawezekana, kundi lililopo ndani ya chama lisimamie taratibu za kumpa ulinzi Tundu Lissu; wakisaidiana na raia wengine wote walio tayari kugharamia zoezi hilo la ulinzi
 
Ushahuri kwa Lisu kwa aina ya uropokaji wake hawezi kukaa na mtu yoyote na hata akishika madaraka hii nchi kila siku itakuwa ni maandamano tu pengine hata ikazuka vita ya wenyewe kwa wenyewe.
Nchi yetu imekuwa ikiongozwa kwa mapenzi ya Rais. Yaani vipaumbele vyake binafsi ndivyo vinavyokuwa dira ya nchi. Hata kama anavunja Katiba.

Mh Lissu anachokipigania siku zote ni kuhakikisha nchi inaongozwa kwa Sheria na Kanuni tulizojiwekea wenyewe na siyo kwa mapenzi ya Rais. Nchi ina Katiba lkn Rais hafuati. Bunge linapanga fedha kwajili ya shughuli fulani lkn Rais anakwenda kukwepesha matumizi yale.
 
Habari zenu wanaJF wenzangu

Ndugu Lisu kwanza napenda nianze kukusalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Najua hatujuani, lakini hilo haliwezi kuwa sababu ya mimi kuacha kukushauri pale ninapoona inafaa mimi kufanya hivyo.

Bila kupoteza muda na kuchosha wasomaji ukiwemo wewe mwenyewe. Ningependa kukushauri uombe kuongezewa ulinzi ili wale ambao wanapanga kutumia sekeseke hili la uchaguzi kufanya yao wasiweze kukufikia.

Nasema hivyo kwa sababu wewe ni mtu unaeonekana kuwa na maadui wengi kuanzia ndani ya chama chako, na nje ya chama chako, hivyo ni vyema ukatafuta njia ya kujilinda mapema kabla hayajakukuta yale yaliowakuta kina Chacha Wangwe, Ben saa8, mzee Kibao na wengine wengi waliouwawa katika mazingira ya kutatanisha ambayo mpaka leo watu bado hawajapata majibu ya vifo vyao.

Kwa mtu mwenye akili timamu akiunganisha dot atapata jibu kwamba katika chama chenu kuna mtu ambae amekuwa na tabia ya kuwachacha wagwe wale wote wanaoonekana kupingana nae katika mipango yake au kiti chake. Hivyo na wewe ni bora ukachukua tahadhari mapema ili usije kuhamishiwa kuzimu kwa nguvu, tena katika kipindi hiki ambacho wanachama wengi wa chama chenu wanakuhitaji.

Nakumbuka uliwahi kutengenezewa picha juzikati kwa kuletewa taarifa kwamba kuna watu (nje) ya sultani wenu wanakutafuta na kwamba watu hao wanapanga kufanya jambo, halafu jumba bovu wamuangushie sultani. Na wewe bila kufikiri mara mbili ukaliongelea hilo swala mitandao, na kumtoa kabisa sultan wenu kwenye mission hiyo.

Kwa mtazamo wangu naona kuwa watu waliokupa taarifa ni wa team Sultan ndiomaana walikwambia mapema kwamba yeye hausiki ila wanaopanga kufanya hivyo watamuhusisha.

Sasa hapo inamaana kwamba sultan akishaku chacha wangwe, hata ukipona na kujua kwamba sultan ana mkono wake, wewe utakuwa hauna jinsi ya kumnyooshea mkono moja kwa moja, kwani tayari umeshamsafisha mapema kwamba likitokea jambo hata kama uchunguzi utafanyika na kumkuta sultani anahusika, watu watasema mwenyewe ulisema watamdondoshea jumba bovu yeye, hivyo itachukuliwa kwamba kasingiziwa kama ulivyosema kwenye taarifa yako ya awali.
Kwahiyo leo mnakiri kuwa Chacha Wangwe ni inside issue? Bila shaka na zile risasi za Lissu ni inside issue. Ahahahahaha!!Taratibu mtausema ukweli tu and the truth shall set you free!!
 
Kama kweli marahemu Ali Kibao alimpa siri Lissu juu ya watu walio hongwa na Abdul...
Akaishia kuuwawa kinyama hivyo basi hiyo Lissu kusema likimtokea chochote mwenyekiti hahusiki ni Lugha ya picha hiyo, in fact ndio atakuwa mtu wa kwanza kuhusika
Mimi nime kuelewa vizuri sana, na nina kubaliana na wewe. Huo ni ujumbe tosha kabisa kwa upande huo. Huko serikalini ndiko kwenye sinto fahamu kubwa.
 
Huu uchaguzi wa chadema , unaturudisha nyuma hadi 1979 ambapo kgb ambayo ilikuwa tiss ya soviet iliamua ku side na upande wa chama kikuu cha upinzani cha labour kilichokuwa kikiongozwa na michael foot kama mwenyekiti . Kgb walimuweka huyu jamaa kwenye 'payroll' yao ili aweze kumchallenge margaret thatcher pm wa u.K aliyekuwa mwana conservative. kwenye uchaguzi mkuu uliotarajiwa kufanyika 1984. Bahati nzuri huyu jamaa alishtukiwa na MI6 na margaret thatcher alipata landslide victory kwenye huo uchaguzi wa 1984, na ikamlazimu michael foot kujiuzulu wadhfa wake kama mwenyekiti wa chama cha labour. Point yangu ni , chadema wanacheza ngoma ya 'SPECIAL BRANCH'.
Bila kujali uliyo elezea humo ndani. Utakuwa umekosea mwaka; haiwezi kuwa 1979.

Hata hivyo, Michael Foot hakuwa na uzito wa kutosha kukiongoza chama cha Labor wakati huo. Alikuwa liberal zaidi; na mwonekano wake wa uvaaji haukusaidia sana kumpandisha chati.

Kuhusu kujiuzuru kwake baada ya kushindwa kiasi hicho,; huo ni utaratibu wa kawaida wa siku zote kwenye vyama hivyo vya huko, na siyo sababu ya "kustukiwa" kama unavyo eleza wewe hapa.

Hizi ni stori tu za kutunga, kuja kuwaelezea watu humu wasio elewa vizuri maswala ya aina hii.

Hata hivyo, hujaonyesha chochote kinacho unganisha au fananisha stori yako hiyo ya Michael Foot, na habari ya CHADEMA na hiyo "SPECIAL BRANCH" unayo itaja hapa.
 
Habari zenu wanaJF wenzangu

Ndugu Lisu kwanza napenda nianze kukusalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Najua hatujuani, lakini hilo haliwezi kuwa sababu ya mimi kuacha kukushauri pale ninapoona inafaa mimi kufanya hivyo.

Bila kupoteza muda na kuchosha wasomaji ukiwemo wewe mwenyewe. Ningependa kukushauri uombe kuongezewa ulinzi ili wale ambao wanapanga kutumia sekeseke hili la uchaguzi kufanya yao wasiweze kukufikia.

Nasema hivyo kwa sababu wewe ni mtu unaeonekana kuwa na maadui wengi kuanzia ndani ya chama chako, na nje ya chama chako, hivyo ni vyema ukatafuta njia ya kujilinda mapema kabla hayajakukuta yale yaliowakuta kina Chacha Wangwe, Ben saa8, mzee Kibao na wengine wengi waliouwawa katika mazingira ya kutatanisha ambayo mpaka leo watu bado hawajapata majibu ya vifo vyao.

Kwa mtu mwenye akili timamu akiunganisha dot atapata jibu kwamba katika chama chenu kuna mtu ambae amekuwa na tabia ya kuwachacha wagwe wale wote wanaoonekana kupingana nae katika mipango yake au kiti chake. Hivyo na wewe ni bora ukachukua tahadhari mapema ili usije kuhamishiwa kuzimu kwa nguvu, tena katika kipindi hiki ambacho wanachama wengi wa chama chenu wanakuhitaji.

Nakumbuka uliwahi kutengenezewa picha juzikati kwa kuletewa taarifa kwamba kuna watu (nje) ya sultani wenu wanakutafuta na kwamba watu hao wanapanga kufanya jambo, halafu jumba bovu wamuangushie sultani. Na wewe bila kufikiri mara mbili ukaliongelea hilo swala mitandao, na kumtoa kabisa sultan wenu kwenye mission hiyo.

Kwa mtazamo wangu naona kuwa watu waliokupa taarifa ni wa team Sultan ndiomaana walikwambia mapema kwamba yeye hausiki ila wanaopanga kufanya hivyo watamuhusisha.

Sasa hapo inamaana kwamba sultan akishaku chacha wangwe, hata ukipona na kujua kwamba sultan ana mkono wake, wewe utakuwa hauna jinsi ya kumnyooshea mkono moja kwa moja, kwani tayari umeshamsafisha mapema kwamba likitokea jambo hata kama uchunguzi utafanyika na kumkuta sultani anahusika, watu watasema mwenyewe ulisema watamdondoshea jumba bovu yeye, hivyo itachukuliwa kwamba kasingiziwa kama ulivyosema kwenye taarifa yako ya awali.
Meza unayoichezea ina vinywaji vya gharama sana
 
Pamoja na kukubaliana na wazo lako; lakini kwa hali ilipo fikia sasa hivi ulinzi pekee juu ya hatma ya Tundu Lissu ni wa Mwenyezi Mungu tu (kwa wanao amini); au ni 'fate' tu kwa wengine wote.

Kwa sasa hivi lolote likimtokea Tundu Lissu, hakuna tena anaye weza kuondokana na kuhusika kwa makundi hayo mawili uliyo yataja. Wote watakuwa ni wahusika; kwa sababu kila mmoja wao ni mnufaika kwa kutowepo kwa Tundu Lissu.

Sijui nani sasa hivi anaye weza kumpa ulinzi wa uhakika Tundu Lissu.

Huko ndani ya chama chake; hali ndiyo hiyo tunayo iona sasa kuwepo na makundi yanayo pingana. Labda, kama kuna kundi ambalo lina muunga mkono, na analiamini barabara; basi wajipange vizuri ili kumpa ulinzi wa uhakika zaidi.

Huku nje ya chama, ulinzi hupatikana kwa kutumia vyombo vya serikali. Sote tunajuwa, huku sasa hivi ni vigumu kujuwa ni nani hawezi kutumiwa na viongozi wenye maslahi ya kumwondoa Lissu huko huko serikalini
Kwa kifupi, ni vigumu kuwaamini hawa.

Kwa hiyo, kama inawezekana, kundi lililopo ndani ya chama lisimamie taratibu za kumpa ulinzi Tundu Lissu; wakisaidiana na raia wengine wote walio tayari kugharamia zoezi hilo la ulinzi
Naunga mkono hoja yako mkuu 👍
 
Nchi yetu imekuwa ikiongozwa kwa mapenzi ya Rais. Yaani vipaumbele vyake binafsi ndivyo vinavyokuwa dira ya nchi. Hata kama anavunja Katiba.

Mh Lissu anachokipigania siku zote ni kuhakikisha nchi inaongozwa kwa Sheria na Kanuni tulizojiwekea wenyewe na siyo kwa mapenzi ya Rais. Nchi ina Katiba lkn Rais hafuati. Bunge linapanga fedha kwajili ya shughuli fulani lkn Rais anakwenda kukwepesha matumizi yale.
Ulichoandika ni kweli. Lakini Lisu hawezi kupata nafasi ya kupigania utawala wa sheria kama katika chama chake kuna kiongozi anaetaka kutawala kama Museven au Kagame.

Haiwezekani michango ya join the chain imeliwa bila Lisu kujua, hawezekani mjumbe wa kamati kuu y chama ampe siri Lisu kuhusu mipango ovu inayopangwa na kiongozi mkubwa wa chama, halaf baada ya siku 2 tusikie kuwa kuna jumbe wa kamati kuu ametekwa na kuuwawa (mzee Ali Kibao), haiwezekani Lisu kutangaza nia tu ya kugombea uenyekiti wa Chadema taifa iwe nongwa hadi kufikia kina Bon Yai na Yericko Nyerere kutumwa kumshambulia.

Wale covid 19 wamefukuzwa chama, kumbe kiongozi mmoja wa juu anaendelea kuwakingia kifua kimya kimya kwa sababu humuingizia chochote kila mwezi baada ya mshahara wao kuingia.

Hivyo Lisu anakwamishwa na viongozi wenzake wa chama kufikia malengo hayo uliyoyaandika hapo juu. So cha muhim ni kumuunga mkono aweze kushinda uenyekiti na kusafisha chama kwanza.
 
Bila kujali uliyo elezea humo ndani. Utakuwa umekosea mwaka; haiwezi kuwa 1979.

Hata hivyo, Michael Foot hakuwa na uzito wa kutosha kukiongoza chama cha Labor wakati huo. Alikuwa liberal zaidi; na mwonekano wake wa uvaaji haukusaidia sana kumpandisha chati.

Kuhusu kujiuzuru kwake baada ya kushindwa kiasi hicho,; huo ni utaratibu wa kawaida wa siku zote kwenye vyama hivyo vya huko, na siyo sababu ya "kustukiwa" kama unavyo eleza wewe hapa.

Hizi ni stori tu za kutunga, kuja kuwaelezea watu humu wasio elewa vizuri maswala ya aina hii.

Hata hivyo, hujaonyesha chochote kinacho unganisha au fananisha stori yako hiyo ya Michael Foot, na habari ya CHADEMA na hiyo "SPECIAL BRANCH" unayo itaja hapa.
Umeandika maneno yenye akili sana. Asante mkuu.
 
Siasa za Afrika zimejaa uongo, unafiki, wizi, rushwa, kutekana, kuuana, hila, chuki na kila aina ya uovu na uchawi.
Selfishness !
Business as usual !
Na wataendelea kuishi na mastresses maisha yao yote !
Pesa na madaraka bila kuwa na Amani mioyoni ni kazi bure tu !
 
Pamoja na kukubaliana na wazo lako; lakini kwa hali ilipo fikia sasa hivi ulinzi pekee juu ya hatma ya Tundu Lissu ni wa Mwenyezi Mungu tu (kwa wanao amini); au ni 'fate' tu kwa wengine wote.

Kwa sasa hivi lolote likimtokea Tundu Lissu, hakuna tena anaye weza kuondokana na kuhusika kwa makundi hayo mawili uliyo yataja. Wote watakuwa ni wahusika; kwa sababu kila mmoja wao ni mnufaika kwa kutowepo kwa Tundu Lissu.

Sijui nani sasa hivi anaye weza kumpa ulinzi wa uhakika Tundu Lissu.

Huko ndani ya chama chake; hali ndiyo hiyo tunayo iona sasa kuwepo na makundi yanayo pingana. Labda, kama kuna kundi ambalo lina muunga mkono, na analiamini barabara; basi wajipange vizuri ili kumpa ulinzi wa uhakika zaidi.

Huku nje ya chama, ulinzi hupatikana kwa kutumia vyombo vya serikali. Sote tunajuwa, huku sasa hivi ni vigumu kujuwa ni nani hawezi kutumiwa na viongozi wenye maslahi ya kumwondoa Lissu huko huko serikalini
Kwa kifupi, ni vigumu kuwaamini hawa.

Kwa hiyo, kama inawezekana, kundi lililopo ndani ya chama lisimamie taratibu za kumpa ulinzi Tundu Lissu; wakisaidiana na raia wengine wote walio tayari kugharamia zoezi hilo la ulinzi
Mungu wa mbinguni anawaona !
 
Back
Top Bottom