Kila napoangalia naona kazi ya kutukuka ya Rais Samia, Tunataka nini tena Watanzania ili turidhike?

wenzako tunaziona lakini tunataka afanye zaidi mana ndiyo kazi yake. we mwenetu usiku kucha unasifia tu. babako akileta mkate home ambalo ni jukumu lake kimsingi huwa unamsifia hivyo kwa majirani hapo mtaani?
Kwanini nisimsifie kwani wangapi wanashindwa kutimiza wajibu wao licha ya kulipwa mishahara, Ndio maana hata ya uanzishwaji wa Tuzo ili kuwatia moyo watu wanaojitoa na kujitolea kuwatumikia watu
 
Kwanini nisimsifie kwani wangapi wanashindwa kutimiza wajibu wao licha ya kulipwa mishahara, Ndio maana hata ya uanzishwaji wa Tuzo ili kuwatia moyo watu wanaojitoa na kujitolea kuwatumikia watu
hujajibu maswali yamgu juu ya wanyonge wa tz unarukaruka tu kama maharagwe yatafutayo kuiva
 
We jamaa na kinyeo cha bata tofauti yenu majina tu
 
Uku Mbezi beach tuna week 3,hakuna maji, eti wanasingizia ukame, wakati hata mwanza waliopo kando ya ziwa victoria hawana maji.Tanganyika hatukuwahi kupata rais mbovu kiasi hiki.
 
Uku Mbezi beach tuna week 3,hakuna maji, eti wanasingizia ukame, wakati hata mwanza waliopo kando ya ziwa victoria hawana maji.Tanganyika hatukuwahi kupata rais mbovu kiasi hiki.
Mama Samia Ni Rais Bora kabisa kwa Sasa katika ukanda huu wa Afrika mashariki na Bara Zima la afrika
 
Hizi threads zako za zamani ulikua huweki namba za simuπŸ˜€πŸ˜€ ila sikuhz hufanyo kosa la kusahau kuweka namba ya simu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…