Kila ndoto ina sababu na kusudi, usije ukapuuza ndoto yako hata moja

Kila ndoto ina sababu na kusudi, usije ukapuuza ndoto yako hata moja

Habari, mkuu ukiota wewe na mkeo mmepata mapacha wawili wa kike, ila kwenye ndoto hawaji kama wachanga ila wanaonekana kama watoto wadogo wa miezi kadhaa au mwaka.
 
Ukiota umevaa gauni la harusi ila upo kanisani unagundua lina madoa, na kama vile halipo sawa na mazingira ya maandalizi hayaeleweki na hilo gauni lina madoa kama vile limemwagiwa black current ina maana gan
 
Asante mleta mada, naamini kabisa utapata maswali mengi sana kutoka kwetu naomba usituchoke ikiwezekana uwe ni uzi mwendelevu kila ikitokea mtu ameota ndoto tatanishi aweze kupata jibu.
 
Ni kweli kwamba ndoto, maono na njozi huja mara nyingi katika hali ya mafumbo sana ambayo kibinadamu ni ngumu kuelewa, lakini kwa msaada wa Mungu aliyefunua hayo huandaa na tafsiri halisi kuyahusu maono hayo ama ndoto na njozi hizo.

Nina wakaribisha katika tafsiri za Ndoto.

View attachment 2361631
Ukiota ndoto baba na mama yako wwliofariki wanaishi kwa.pamoja kama mke na mume huko walipo inmnosha nn?
Ukiota baba aliyefariki krudi n mnishi naye kama.zamni inamanisha nn?
 
Na vipi ukiota nyumba unayoishi inaangukà , baada ya kama miez kadhaa kesi mahakamani adui yangu anashinda kesi pamoja na kwamba anaonekana kutokukubalika kwa wananchi na mamlaka zinazosimamia wananchi
 
Nmepata kuota ndoto ambazo tafsiri yake nmeshndwa kung’amua...ila naomba niulize wajuvi wa mambo

Watu
watu ninaotokea kuwaona kwenye ndoto sjawah kutana nao hata siku moja.....ni sura mpya kabisa ktk ulimwengu wa kawaida....yaweza tokea ndoton naota nmekutana nao mskitin,sokon,stend,hospital au penye mkusanyiko wowote
Swali;je hao watu wapo kweli kweny ulimwengu wa nyama?au ni ubongo unatengeneza sura za watu ambao hawapo?

MAJENGO
ndoton napata kuona nyumba,mitaa,makanisa ambayo ki uhalisia na kutembea kwangu dunian sjawah kuviona
Swali;je majengo na hyo mitaa kweli ipo au ni ubongo tu unatengeneza?

Tafadhali naomba mwenye uwezo na elimu anisaidie nataman kufaham
Ahsante
 
Ukiota umevaa gauni la harusi ila upo kanisani unagundua lina madoa, na kama vile halipo sawa na mazingira ya maandalizi hayaeleweki na hilo gauni lina madoa kama vile limemwagiwa black current ina maana gan
Roho za kichawi zinafatilia mahusiano yako, suala la ndoa kutakuwa gumu kwako, msihi Mungu, anaefanya ushirikina katika eneo la mahusiano yako aachie
 
Na vipi ukiota umeng'atwa na nge mwekundu .
 
Nina rafiki yangu bahati mbaya ni marehemu kafariki August mwaka huu. Alikuwa na mpenzi wake anaitwa Anna hapo Runzewe binti Anna aliota mpenzi wake kafariki kwa ajali ya gari. Wiki mbili mbele jamaa akafariki kwa ajali ya gari Kahama. Hapo ndoto hizi

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Ukiota uko shule tena zile shule za msingi,

Siku mbili mbele lazima mambo yako yakuendee hovyo
 
Ni kweli kwamba ndoto, maono na njozi huja mara nyingi katika hali ya mafumbo sana ambayo kibinadamu ni ngumu kuelewa, lakini kwa msaada wa Mungu aliyefunua hayo huandaa na tafsiri halisi kuyahusu maono hayo ama ndoto na njozi hizo.

Nina wakaribisha katika tafsiri za Ndoto.

View attachment 2361631
Niliota gari yangu imechakaa imepark mahala na mataili yamechanika chanika na sina namna ya kuikwamua,pia ktk ndoto hiyo hiyo mimi nyumbani kwangu nafuga kuku pia,si wengi lakini nikaona wale kuku wako kwenye hali mbaya sana ya kiafya,halafu nina fimbo mkononi namnyanyua kuku aliyechoka kiafya sana sana

Nini maana ya hii ndoto
 
Back
Top Bottom