Kila nikiangalia Afrika Mashariki sehemu mbalimbali za majiji nakuta Nairobi tu

Kila nikiangalia Afrika Mashariki sehemu mbalimbali za majiji nakuta Nairobi tu

Kila nikiangalia africa mashariki sehemu mbalimbali za majiji na kuta nairob tu.
Kila nikiangalia usafiri wa ndege nyingi ni nairob tu.

Tukubari ukweli nairob ni jiji
Sasa wewe hadi sahii bado unashindana na Nairobi? Dar es Salaam bado ni jiji dogo sana.

Mipango miji wetu ni wahujumu uchumi wa hii nchi namba moja.

Idara zetu za mipango miji ni za ovyo na wahusika hawazingatii weledi kazini..
 
Kila nikiangalia africa mashariki sehemu mbalimbali za majiji na kuta nairob tu.
Kila nikiangalia usafiri wa ndege nyingi ni nairob tu.

Tukubari ukweli nairob ni jiji
Kidogo Kigali pia iko poa

USSR
 
Kila nikiangalia africa mashariki sehemu mbalimbali za majiji na kuta nairob tu.
Kila nikiangalia usafiri wa ndege nyingi ni nairob tu.

Tukubari ukweli nairob ni jiji
Nna uhakika wa 90% hujawahi kuishi Nairobi unaiona tu kwenye picha tu kama unabisha ilikuwa unaishi sehemu gani? Na ulikuwa unapanda gari number ngapi? Kujibu hilo ndo ntaanza kuelewesha uzuri wa Dar vs Nairobi
 
Tatizo la DSM ni miundo mbinu , mji Una majengo mengi Ila miundo mbinu inatia was was Sana , wazungu wanaangalia facilities sio ukubwa wa mji ...!!!
Kama hujawahi kufika na kuishi Nairobi Kampala Kigali na Mombasa naomba unyameza, hamjui mnachoongelea mko kwenye hearsay
 
Kila nikiangalia africa mashariki sehemu mbalimbali za majiji na kuta nairob tu.
Kila nikiangalia usafiri wa ndege nyingi ni nairob tu.

Tukubari ukweli nairob ni jiji
Ni ukweli usiopingika labda tu lugha za kizalendo za kujipoza maumivu.
1. Taasisi nyingi za kimataifa. Ofisi zake ziko Nairobi kwa Afrika hii.
2. Anga ya Kenya, mashirika ya ndege ya kimataifa mengi sana. Na usafiri ni mwingi pia.
3. Huduma za kitabibu pia wako vizuri japo gharama ni kubwa sana kulinganisha nasi.
4. Watalii ni wengi zaidi kulinganisha na hapa nyumbani.

Yote haya yaliletelezwa na sera tuliokuwa tukiifua ya ujamaa. Ambayo haikubaliki ktk ulimwengu wa magharibi.

Mwisho mji wetu/miji yetu miundombinu yake uswahili mwingi sana.
 
Kila nikiangalia africa mashariki sehemu mbalimbali za majiji na kuta nairob tu.
Kila nikiangalia usafiri wa ndege nyingi ni nairob tu.

Tukubari ukweli nairob ni jiji
Ndugu ulishawahi kufika Nairobi au huwa unaisikia au kuambiwa?
Njoo Nairobi nikuonyeshe uchafu, umaskini, uhalifu na ujinga mkubwa na uliotapakaa ambao hujawahi kuuona au kuusikia popote duniani.
Hakuna jiji bovu, baya na la kipuuzi kama Nairobi kwa ukanda huu.
 
Wengi hawajafika wakaona jinsi Nairobi ilivyo kenge!
 
Kila nikiangalia africa mashariki sehemu mbalimbali za majiji na kuta nairob tu.
Kila nikiangalia usafiri wa ndege nyingi ni nairob tu.

Tukubari ukweli nairob ni jiji
Sawa, kijiji chenye wavuvi milioni 8, ukiacha Dar kuna kijiji au hata jiji la hivyo?
 
Baba wa taifa alisema, ukitaka kushangaa magorofa sio lazima uende Ulaya, nenda tu hapo Nairobi.
Kama Nyerere alisema hayo basi alisema hapo kabla ya mwaka 1990, kwa sasa huenda Ruto akasema hivi "Kama unataka kuona maghorofa marefu, makubwa na mazuri basi usipoteze nauli yako kwenda Ulaya, wewe nenda Dar"

What is my point?
Kama ubora wa jiji utapimwa kwa maghorofa, basi kwa sasa Nairobi haiwezi kuifikia Dar hata chembe. Kwa kifupi sana, kwa ukanda huu wa Afrika Mashariki na Kati, huenda Dar imejengeka zaidi kwa maghorofa kuliko majiji mengine.
 
Back
Top Bottom