Kila nikiangalia Afrika Mashariki sehemu mbalimbali za majiji nakuta Nairobi tu

Kila nikiangalia Afrika Mashariki sehemu mbalimbali za majiji nakuta Nairobi tu

KICC_nairobi_kenya.jpg

Nitafutie aerial pic ya jiji la NBy. Hili jengo lisipoonekana, njoo uchukue milioni.
Nby ni ndogo sana (compared to Dar). Ndio maana wanaonesha sehemu iyo iyo.
 
Kuwa na jiji bora uwa kuanza na mipango miji,usimamizi wa ardhi ya mji/ jiji pia udhibiti wa ukuaji wa mji / jiji kwa sisi hicho katika vipaumbele 20 vya serikali ,hilo halipo kabisa, hivyo majiji kukosa miundombinu sababu haijapangiwa sehemu za kupita
Kingine kinacho boost ukuwaji wa miji ni uwekezaji mbalimbali wa makampuni esp private lakini bongo yetu hii mfano tu ukiagiza tu bidhaa ya million 40 apo kodi utapigwa million 29 hapo bado ,Brela ,ewura,nemc na halmashauri ujapigwa
Na hizi sababu ndio zinasababisha wabongo wafanyabiashara wakubwa na mitaji mikubwa kwa sasa wanakimbilia nairobi kuinvest mfano Rostam, Nala ..n.k
 
Kama hujawahi kufika na kuishi Nairobi Kampala Kigali na Mombasa naomba unyameza, hamjui mnachoongelea mko kwenye hearsay
Unapenda ubishi sana.
Nairobi ndio kuna slams kibao lkn ukweli ni kwamba iko mbali sana kuanzia miundo mbinu.
Ukichukua tu Westland pekee inatosha kuiita jiji.

Nipe kipande chochote cha jiji East Africa kinachoikaribia Westland
 
Ni ukweli usiopingika labda tu lugha za kizalendo za kujipoza maumivu.
1. Taasisi nyingi za kimataifa. Ofisi zake ziko Nairobi kwa Afrika hii.
2. Anga ya Kenya, mashirika ya ndege ya kimataifa mengi sana. Na usafiri ni mwingi pia.
3. Huduma za kitabibu pia wako vizuri japo gharama ni kubwa sana kulinganisha nasi.
4. Watalii ni wengi zaidi kulinganisha na hapa nyumbani.

Yote haya yaliletelezwa na sera tuliokuwa tukiifua ya ujamaa. Ambayo haikubaliki ktk ulimwengu wa magharibi.

Mwisho mji wetu/miji yetu miundombinu yake uswahili mwingi sana.
Ulipoongelea tu watalii hapo ndo nikajua huna lolote! Wewe ni limbukeni tu !
 
Ulipoongelea tu watalii hapo ndo nikajua huna lolote! Wewe ni limbukeni tu !
Ulimbukeni kuwa watalii hapa ni wengi kuliko Kenya ?! Ndiyo yale niliyoyaita lugha za kizalendo za kujipoza . Endelea kujidanganya
 
M
Tena wewe ndo fala kabisa Kigali ambayo iko confined sehemu moja, bunge hapo ikulu hapo hapo, ofisi za wizara hapo hapo yani hata sio robo ya Dar, au kwasbb mnasikia kwamba ni safi, ila uliza ina watu wangapi kwanza ndo ulinganishe na Dar.
Mbona hats Nairobi ni same case mkuu
 
Kila nikiangalia Afrika Mashariki sehemu mbalimbali za majiji na kuta Nairobi tu.
Kila nikiangalia usafiri wa ndege nyingi ni Nairobi tu.

Tukubali ukweli Nairobi ni jiji
Yaani usafiri wa ndege Kenya unazidi Ethiopia? We nae ni bumunda
 
Back
Top Bottom