Kila nikiangalia Afrika Mashariki sehemu mbalimbali za majiji nakuta Nairobi tu

Kila nikiangalia Afrika Mashariki sehemu mbalimbali za majiji nakuta Nairobi tu

Ndugu ulishawahi kufika Nairobi au huwa unaisikia au kuambiwa?
Njoo Nairobi nikuonyeshe uchafu, umaskini, uhalifu na ujinga mkubwa na uliotapakaa ambao hujawahi kuuona au kuusikia popote duniani.
Hakuna jiji bovu, baya na la kipuuzi kama Nairobi kwa ukanda huu.
Huyo fara Nairobi anavyosema anaiangalia ni kwakupitia google maps.

Mwambie aende Mathare au Kibera.
 
Kila nikiangalia Afrika Mashariki sehemu mbalimbali za majiji na kuta Nairobi tu.
Kila nikiangalia usafiri wa ndege nyingi ni Nairobi tu.

Tukubali ukweli Nairobi ni jiji

kama usafiri wa anga ndio kipimo Chako kwanini isiwe Adis Ababa. ?
 
Wewe utakuwa ni mpuuzi kama kweli unaamini Dar ni kijiji cha wavuvi eti tu kwa sababu "chombo fulani cha habari cha Marekani" kimeripoti hivyo.

Asiyesoma magazeti, kusikiliza redio na kutazama tv ni mjinga, lakini anayesoma magazeti, kusikiliza redio na kutazama tv ni mjinga hata zaidi. "quoted from the one I don't remember".
CC: LOTH HEMA
 
Hivi ni kweli jiji la dar unaweza kulilinganisha na majiji ya washington na new york? Wamarekani wakiita dar ni kijiji wako sahihi nasi tukingilinganisha na hayo majiji yao tunaona tuko kijijini
 
Mh!,thamani ya jiji sio majengo marefu tu,pia idadi ya watu ndugu
pengine labda hujaelewa. hebu rudia kusoma hapa Chini 👇
Dar ni Jiji la hovyo Sana Sana tuache utani!!!
Pia asilimia kubwa ya watu Wana kipato duni Sana Sana !Yan dar watu wamechoka Sana wengi hawana vipato ni madalali mision taun tupu!!
Mji upo squatters sehemu kubwa Sana
Usafiri ni mbovu jamani!?
Mji mchafu Sana Sana
 
Kama Nyerere alisema hayo basi alisema hapo kabla ya mwaka 1990, kwa sasa huenda Ruto akasema hivi "Kama unataka kuona maghorofa marefu, makubwa na mazuri basi usipoteze nauli yako kwenda Ulaya, wewe nenda Dar"

What is my point?
Kama ubora wa jiji utapimwa kwa maghorofa, basi kwa sasa Nairobi haiwezi kuifikia Dar hata chembe. Kwa kifupi sana, kwa ukanda huu wa Afrika Mashariki na Kati, huenda Dar imejengeka zaidi kwa maghorofa kuliko majiji mengine.
Wewe ni kichaa? Ni wapi Dar maghorofa yanapatikana ukitoa cbd, kijitonyama na Upanga? Hebu nipe picha kama hii ya eneo la kawaida wanapoishi watu hapo Dar ndio tujue jiji lipi lina maghorofa mengi
Screenshot_20230216-222643.png
Screenshot_20230216-222540.png
images - 2022-06-13T104537.919.jpeg
images (54).jpeg
images - 2022-07-09T151316.956.jpeg
IMG_20230216_104104.jpg
 
Back
Top Bottom